Hii nchi kila Kona ni HASARA tuView attachment 2947314
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limepata hasara ya Sh894 milioni licha ya kupokea ruzuku ya Sh4.55 bilioni kutoka serikalin...
View attachment 2947314
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limepata hasara ya Sh894 milioni licha ya kupokea ruzuku ya Sh4.55 bilioni kutoka serikalini.
Hata hivyo, hasara kwa shirika hilo imepungua kwa asilimia 94. CAG amesema shirika hilo limerejesha Sh4.4 bilioni kutoka kwenye ruzuku hiyo kama mapato yake kwa mwaka wa fedha 2022/2023.
CAG Kichere amesema hayo leo Machi 28, 2024 wakati akiwasilisha taarifa yake ya ukaguzi kwa Rais Samia Suluhu Hassan, Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Lini kitu kilikuwa chini ya chadema kikawa na ufanisi.Hakuna kitu kiliwahi kuwa chini ya usimamizi wa Serikali ya CCM halafu kikawa na ufanisi. Mashirika ya umma huwa yanashindana kwa kutengeneza hasara. Tena hapa TTCL wakae chonjo, wanaweza kuzidiwa katika kutengeneza hasara na ATCL. Sidhani kama ATCL itakubali kunyang'anywa nafasi yake.
CCM ni LAANA,siku hili BLANKET likitoka kichwani mwa watanzania,..MOTO utawakaHakuna kitu kiliwahi kuwa chini ya usimamizi wa Serikali ya CCM halafu kikawa na ufanisi. Mashirika ya umma huwa yanashindana kwa kutengeneza hasara. Tena hapa TTCL wakae chonjo, wanaweza kuzidiwa katika kutengeneza hasara na ATCL. Sidhani kama ATCL itakubali kunyang'anywa nafasi yake.
L
Lini kitu kilikuwa chini ya chadema kikawa na ufanisi.
Ndio maana nikakauulizaNi lini CHADEMA iliwahi kushika Serikali?
Kenya Airways ndo wamepata faida mwaka huu kwa mara ya kwanza baada ya miaka Saba, itakuwa shirika letu pendwa?Hapo Ethiopia wanashirika la uma lasimu linaperform kwanini wasijifunzee??
Kuna Ethiopian/kenya airways kwanini tusijifunzee?
Uchukuzi ni hasara tuuupu LAKINI waziri anakaa kwenye tv nakujisifia kuwa wanafanya makubwa kwanini asitimuliweeee???
Hatujajua huko kwenye mareli kukoje nako itakuwa nihasara mwanzo mwishooo