Kigwa naona kama kakalia kuti kavu. Hta ile kauli ya Mheshimiwa kua Waziri na KM wake wasipoelewana atawatoa wote ilikua inamlenga sana Waziri kuliko KM kwasababu katika hali ya kawaida kama KM hamuheshimu Waziri basi huyo ndio angetolewa, lakini ni kama vile anaambiwa a compromise na KM wake