Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Bora muanze kutupa "live" yanayojiri huko vilabuni badala ya kuwa mnatupa "live" za maandamano tu. Mnanchekesha!
Haya anzeni...labda tukinogewa tutakuja kuwa join.
Nipo kwenye jiko la nyama choma. Mmeniona?
Wewe ndio mama mchoma? Au?
ndio, njo hapa nikuchomee.
Am cuming! Am cuming! Am cuming!
tobaaaaaa, tupo jukwaa gani jamani?
Usishangae sana,viroba vishakubali kichwani
sasa vilabuni mkiambiwa watu wanashikana nanii!
Jamani Club Calabash iko wapi? Siye wengine washamba wa Jijini, nataka siku nikizuka nipate nyama choma nione kama inafikia viwango vya Arusha.
Hii Pub haichuji tundani ya calabaSh wana jf mpoo?naona kumekucha hapa