calabash pub

calabash pub

Aisee msalimie sana Naomi, nadhani aliingia saa 4 asubuhi leo......
 
apo calabash kuna siku meneja alikula kianzio cha muhudumu kisha mhudumu akaingia mitini, yaani jamaa alichopmaje mahindi apo hakuna kitu, ikabidi kumkokotantu kumpeleka home.
 
Jamani Club Calabash iko wapi? Siye wengine washamba wa Jijini, nataka siku nikizuka nipate nyama choma nione kama inafikia viwango vya Arusha.
 
sasa vilabuni mkiambiwa watu wanashikana nanii!

Si ndio raha zenyewe hizo au sio? kama hajayatamani atayashika? unanchekesha! Ukiamuwa kwenda kilabu ujuwe kuna urabu na masharubu na usione kuitikia karibu na ukiwa huko usiwe bubu wala na aibu ukubali kupokea skurubu na wewe nenda ukajitibu maana sasa unaanza kuharibu.
 
Ipo mwenge,karibu na kituo cha daladala cha mpakani or lufungira,also near kanisa la kakobe!
Jamani Club Calabash iko wapi? Siye wengine washamba wa Jijini, nataka siku nikizuka nipate nyama choma nione kama inafikia viwango vya Arusha.
 
Back
Top Bottom