Calculation of fixed account interest rates

dalbega

Member
Joined
Apr 13, 2012
Posts
99
Reaction score
32
Hi wanaJF,

Naomba msaada. Nimejaribu kukokotoa interest rates za fixed account kwenye bank moja hapa nchini kwa kutumia nested if function kwenye excel. Lengo langu, kama sehemu ya kujifunza MS Exel, ni kupata formula moja ambayo itafaa kwa viwango vyote vya pesa.

Imekubali kwenye category mbili za juu kwenye document ya excel iliyoambatanishwa (yaani shilingi 50,000 mpaka 999,999, na 1,000,000 mpaka 9,999,999). Zaidi ya hapo nikiweka formula inasema false. Ninaomba msaada tafadhali.
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…