Nzobanga01
Member
- Dec 3, 2014
- 8
- 7
Nimeiona hiyo calculator lakini nafikiri bado ina mapungufu kwani baadhi ya magari kama PASSO,starlet n.k ukitaka kujua ushuru unaopaswa kulipia,inagoma kutoa majibu,inakuambia uwasiliane nao TRA, sasa kama si usumbufu ni nini hapo?,nafikiri ile ya zamani ilikuwa nzuri zaidi
Ni rahisi kutumia ukilinganisha na iliyopita (User friendly). Warekebishe mapungufu yaliyomo li kuondoa usumbufu kama ulivyooeleza.
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA wameweka calculator iliyorahisishwa kwa ajili ya kukokotoa kodi kwa magari yaliyotumika yanayoagizwa kutoka Japan na nchi nyingine zinazouza magari yaliyotumika.
Calculator ya sasa imerahisishwa kiasi kwamba mtu yeyote anaweza kuitumia na ana pato kodi stahiki kwa shilingi za Kitanzania.
Calculator hiyo inapatika katika website ya TRA Tanzania Revenue Authority - Home, katika sub heading ya Calculator and tools.

hasante kwa kuliona hilo nimejatibu kuingiza toyota wish ya 2006, cc:1001-2000, kutoka bifoward yenye cif 1789usd, TRA wameweka kodi ya tsh 3700462. na cif ya 2618usd. sehemu gari linapo toka ni japani. huo utofauti wa cif unatoka wapi?binafsi sijawahi tumia tra calculator ndiyo hii ya kwanza kuitumia, lakini mbona cif inayotokea inakua ndogo ukilinganisha na cif ya wauzaji kutoka kwao hadi bandari ya dsm? (je tofauti hiyo inaweza kuwa ni inspection cost au...??)
Hahhahahhahaaa, wezi wale. Kitendo cha kufanya kazi tra ni dhambi toshaMi nilitumia Calculator ya awali mwezi February kodi niliyoipata imekuwa doubled kwenye calculator mpya na nilipowasiliana na TRA via email kodi niliyopewa imetofautiana na hizo mbili zote. Its just confusing.
nadhan wao wanaamini gari ya zmn inachafua zaid mazingira kupita mpya....ndo sababu hapo bado cc....Kinachonishangaza kuhusu hizi Calculator za TRA ni kuwa km zilizotembea hiyo gari hazihusiki kabisa, wakati hiyo ni sehemu muhimu ya kujua thamani ya gari. The same car iliyotembea km 1500 say ya 2010 itakuwa ghali zaidi kuliko ile ya 2014 iliyotembea km250,000