Calculator Mpya ya Magari TRA

Calculator Mpya ya Magari TRA

Nzobanga01

Member
Joined
Dec 3, 2014
Posts
8
Reaction score
7
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA wameweka calculator iliyorahisishwa kwa ajili ya kukokotoa kodi kwa magari yaliyotumika yanayoagizwa kutoka Japan na nchi nyingine zinazouza magari yaliyotumika.

Calculator ya sasa imerahisishwa kiasi kwamba mtu yeyote anaweza kuitumia na ana pato kodi stahiki kwa shilingi za Kitanzania.

Calculator hiyo inapatika katika website ya TRA Tanzania Revenue Authority - Home, katika sub heading ya Calculator and tools.
 
Asante kwa taarifa! Ili wengi wafaidike ungehamishia hii post kule kwenye mada maalum ya magari kuna wengi wana uhitaji wa hili
 
Nimeiona hiyo calculator lakini nafikiri bado ina mapungufu kwani baadhi ya magari kama PASSO,starlet n.k ukitaka kujua ushuru unaopaswa kulipia,inagoma kutoa majibu,inakuambia uwasiliane nao TRA, sasa kama si usumbufu ni nini hapo?,nafikiri ile ya zamani ilikuwa nzuri zaidi
 
Ni rahisi kutumia ukilinganisha na iliyopita (User friendly). Warekebishe mapungufu yaliyomo li kuondoa usumbufu kama ulivyooeleza.
 
yap,hii sasa kwa kweli hata kwa layman ni rahisi sana kuitumia,wamejitahidi
 
binafsi sijawahi tumia tra calculator ndiyo hii ya kwanza kuitumia, lakini mbona cif inayotokea inakua ndogo ukilinganisha na cif ya wauzaji kutoka kwao hadi bandari ya dsm? (je tofauti hiyo inaweza kuwa ni inspection cost au...??)
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA wameweka calculator iliyorahisishwa kwa ajili ya kukokotoa kodi kwa magari yaliyotumika yanayoagizwa kutoka Japan na nchi nyingine zinazouza magari yaliyotumika.

Calculator ya sasa imerahisishwa kiasi kwamba mtu yeyote anaweza kuitumia na ana pato kodi stahiki kwa shilingi za Kitanzania.

Calculator hiyo inapatika katika website ya TRA Tanzania Revenue Authority - Home, katika sub heading ya Calculator and tools.

Heading ya hiyo sub-heading ni ipi - home au do it online? Tuwe tunaelekeza vizuri.
 
We piga calculator zako ila kwenye estimate jiongezee 1-1.5m kwa magari ya chini ya mil 10, TRA hawatabiriki kabisa na msidhani eti hesabu zao zitalingana na zako, very rarely.
 
Mi nilitumia Calculator ya awali mwezi February kodi niliyoipata imekuwa doubled kwenye calculator mpya na nilipowasiliana na TRA via email kodi niliyopewa imetofautiana na hizo mbili zote. Its just confusing.
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA wameweka calculator iliyorahisishwa kwa ajili ya kukokotoa kodi kwa magari yaliyotumika yanayoagizwa kutoka Japan na nchi nyingine zinazouza magari yaliyotumika.

Calculator ya sasa imerahisishwa kiasi kwamba mtu yeyote anaweza kuitumia na ana pato kodi stahiki kwa shilingi za Kitanzania.

Calculator hiyo inapatika katika website ya TRA Tanzania Revenue Authority - Home, katika sub heading ya Calculator and tools.

Kinachonishangaza kuhusu hizi Calculator za TRA ni kuwa km zilizotembea hiyo gari hazihusiki kabisa, wakati hiyo ni sehemu muhimu ya kujua thamani ya gari. The same car iliyotembea km 1500 say ya 2010 itakuwa ghali zaidi kuliko ile ya 2014 iliyotembea km250,000
 
binafsi sijawahi tumia tra calculator ndiyo hii ya kwanza kuitumia, lakini mbona cif inayotokea inakua ndogo ukilinganisha na cif ya wauzaji kutoka kwao hadi bandari ya dsm? (je tofauti hiyo inaweza kuwa ni inspection cost au...??)
hasante kwa kuliona hilo nimejatibu kuingiza toyota wish ya 2006, cc:1001-2000, kutoka bifoward yenye cif 1789usd, TRA wameweka kodi ya tsh 3700462. na cif ya 2618usd. sehemu gari linapo toka ni japani. huo utofauti wa cif unatoka wapi?
 
Kama kuna mwenye TRA RSP list & calculator ya mwaka huu latest version naomba aiweke hapa jamvini...Hii itasaidia kwenye ukokotoaji wa kodi hasa pale ambapo CIF price ya mnunuzi itakuwa kubwa kuliko ile custom value inayoonekana kwenye calculator ya sasa.
Uzoefu unaonesha CIF price ya mnunuzi ikiwa kubwa kuliko ile inayoonekana kweye TRA calculator ya sasa basi ukokotoaji hufanyika upya kwa kutumia Excel sheet kama ilivyokuwa zamani. Hivyo ili kuondoa hofu ya kukadiriwa kodi ya juu ni vyema ule utaratibu wa kutoa kale ka Excel sheet uendelee kwa kila mwaka mpya wa fedha unavyooanza ili tuende sawa kihesabu, vivyo hivyo hiki kikokotoaji cha sasa kiendelee kutumika hususa kwa wale ambao matumizi ya Excel sheet yanawapa tabu.
 
Tra wangeongezea na calculation ya magari toka Singapore, Korea India na Ujerumani
 
Tra wangeongezea na calculation ya magari toka Singapore, Korea India na Ujerumani
 
Mi nilitumia Calculator ya awali mwezi February kodi niliyoipata imekuwa doubled kwenye calculator mpya na nilipowasiliana na TRA via email kodi niliyopewa imetofautiana na hizo mbili zote. Its just confusing.
Hahhahahhahaaa, wezi wale. Kitendo cha kufanya kazi tra ni dhambi tosha
 
Kinachonishangaza kuhusu hizi Calculator za TRA ni kuwa km zilizotembea hiyo gari hazihusiki kabisa, wakati hiyo ni sehemu muhimu ya kujua thamani ya gari. The same car iliyotembea km 1500 say ya 2010 itakuwa ghali zaidi kuliko ile ya 2014 iliyotembea km250,000
nadhan wao wanaamini gari ya zmn inachafua zaid mazingira kupita mpya....ndo sababu hapo bado cc....
 
Back
Top Bottom