Exchange rateMjomba wangu alinunua Audi Q7 ya 2011. Akalipa ushuru kama milioni 45 wakati huo kwenye mtandao wa TRA ikionesha ina ushuru wa milioni 43. Miezi miwili baadaye gari hiyohiyo ukiingia kwenye portal ya TRA inaonesha ushuru wake ni milioni 21. Najiuliza mbona alitumia pesa nyingi sana? Mwaka wa kodi bado haujabadirika. Kulikoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo tulizo na uwezo nazo. Jf hamna mwenye uwezo hata wa kununua Toyota vitz ya 2013
Kama nan madam? Kati ya watu laki 5 humu ndan wote njaa tu!! Hawahawa ikifika tarehe 22 wanaulizia sms za nmb?Unasema?!!kaa kimya kuna watu wana mikwaju humu acha kabisa!!!ya maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa ni ujinga kununua gari la 1986.Land cruiser ya 1986 ni ghali kuliko ya 2007
Ndio njaa tu hawa ...kutwa kushinda pm za wanawake kutongoza lakin hamna kitu
Hebu waambie hao!! Wanajifanyaga eti mtu anaulizia rav 4 adventure na kluger anunue ipiWengi hawawezi hiyo itawatoa kamasi ....
na ukiwaambia brand new ndio watakimbia kabisa!!
Hapana nimekubaliana na wewe! Naongezea pia harrier ya 2007 ni bei ghali kuliko ya 2014Sarcasm sio?
Ndo tulizo na uwezo nazo. Jf hamna mwenye uwezo hata wa kununua Toyota vitz ya 2013
Kama nan madam? Kati ya watu laki 5 humu ndan wote njaa tu!! Hawahawa ikifika tarehe 22 wanaulizia sms za nmb?
Njoo na ushahidi kuwa walishakuhonga japo hata kiwanja. Sio kukunulia beer na nyama kisha mnaishia gesti za uchochoroni.
Nb;wenye hela hata hawajui jf ni kitu gan
Haya hebu nunua basi japo harrier ya mwaka 2015 ili usalimike kwenye ushuru wa uchakavu halafu jumla uwe umetumia milioni 75 mpaka linaingia barabarani na Mimi ninunue harrier ya mwaka 2004 yenye ushuru wa uchakavu halafu jumla nitumie milioni 24 tu mpaka inaingia barabarani.Tunajidanganya sana, gari ya huo mwaka inaweza kuwa ghali kuinunua huko Japan lakini ushuru wa uchakavu utakua mdogo au usitozwe kabisa. Kama sikosei gari yenye miaka nane haina ushuru wa uchakavu.
Kwa mantiki hiyo, ukiweza kulipia gari ya 2015 au 2013, utasalimika na gharama za uchakavu. Vile vile inategemea unaongelea aina gani ya gari.
Sijasema sipend watu wawe na hela ila nikuwa humu ndan wenye hela hawapo.mbona kama hupend watu wawe na hela ? yan inamana hakuna mtu mwenye excess ya dola elfu 10000 ? mkuu sio kweli , hela haichagui mkuu yan kwenye watu laki tano pakosekane watu hata ishirini wenye milion 100+ ? me siamini..
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haya hebu nunua basi japo harrier ya mwaka 2015 ili usalimike kwenye ushuru wa uchakavu halafu jumla uwe umetumia milioni 75 mpaka linaingia barabarani na Mimi ninunue harrier ya mwaka 2004 yenye ushuru wa uchakavu halafu jumla nitumie milioni 24 tu mpaka inaingia barabarani.
Zitto ni means jf anamiliki HammerNdo tulizo na uwezo nazo. Jf hamna mwenye uwezo hata wa kununua Toyota vitz ya 2013
Sijasema sipend watu wawe na hela ila nikuwa humu ndan wenye hela hawapo.
Hata wewe mwenyewe unatumia iPhone toleo la miaka minne nyuma wakati Leo hii tupo kwenye 11 tunaelekea 12[emoji14]
Sijasema sipend watu wawe na hela ila nikuwa humu ndan wenye hela hawapo.
Hata wewe mwenyewe unatumia iPhone toleo la miaka minne nyuma wakati Leo hii tupo kwenye 11 tunaelekea 12[emoji14]
Kama nan madam? Kati ya watu laki 5 humu ndan wote njaa tu!! Hawahawa ikifika tarehe 22 wanaulizia sms za nmb?
Njoo na ushahidi kuwa walishakuhonga japo hata kiwanja. Sio kukunulia beer na nyama kisha mnaishia gesti za uchochoroni.
Nb;wenye hela hata hawajui jf ni kitu gan
Afadhali umesemaMkuu simu ndio inaonyesha nan anahela yan unataka kusema kina gigy money wana iphone 11, wanahela gani ? me nimekaa na watu wanahela wengi tu na hawana simu mnazotaka ninyi mkuu, jaribu kukaa na watu wenye wako financially poa alafu utakuja na mtazamo tofauti, alafu haya mambo yakubadilisha badilisha simu ni wanawake wanapenda me binafsi napenda mambo mengine kabisa ila hela ya iphone 11 hainishindi mkuu. Ila nakuhakikishia watu wengi tu humu wana hela ila hawawez kusema mkuu
Ni kweli simu yangu ya zaman miaka minne nyuma ila nimeamua kuset priority, tv yangu ni mpya ya mwaka jana alafu kubwa, music system ni latest, fridge latest alafu kwasababu I am a tech guy, nna laptop latest tukiweka hapa bei ya izo vitu napata ma iphone eleven yakutosha tu, nin
Mfano nna jamaangu super wakala wa voda ana bonus ya kama milion 20 kwa mwez ana kitoyota runx na tecno alafu sio kwamba mshamba hapana ameset priority kwenye mambo mengine tu. Kwahyo mkuu ni priority tu ila kuniambia kwamba watu ni maskini sana huku sio kweli mkuu wengine wana mizigo haswaaa ila wapo low profile.
Nyie nendeni mpaka iphone 20 yangu ikiharibika ntanunua nyingine tena zigaribike simu zote yan ya android na ios, saivi mkuu wacha madogo wasome shule nzuri na waish vizuri ntajitahid mkuu,
Sent from my iPhone using JamiiForums
swali la msingi unamjuaje mwenye hela kama account nyingi humu ni parody ? Its very difficult kumjua, wengi wana account nyingi na hawajulikani mkuu, na ukiona mpaka mtu amefikia level ya kutumia jf jua kuna civilization fulan kaipitia so sio mazunde kama unavyodhan, nimekutana na watu wanaish a very standard life na wapo jf na sijui account zao.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sijasema sipend watu wawe na hela ila nikuwa humu ndan wenye hela hawapo.
Hata wewe mwenyewe unatumia iPhone toleo la miaka minne nyuma wakati Leo hii tupo kwenye 11 tunaelekea 12[emoji14]