Mkuu simu ndio inaonyesha nan anahela yan unataka kusema kina gigy money wana iphone 11, wanahela gani ? me nimekaa na watu wanahela wengi tu na hawana simu mnazotaka ninyi mkuu, jaribu kukaa na watu wenye wako financially poa alafu utakuja na mtazamo tofauti, alafu haya mambo yakubadilisha badilisha simu ni wanawake wanapenda me binafsi napenda mambo mengine kabisa ila hela ya iphone 11 hainishindi mkuu. Ila nakuhakikishia watu wengi tu humu wana hela ila hawawez kusema mkuu
Ni kweli simu yangu ya zaman miaka minne nyuma ila nimeamua kuset priority, tv yangu ni mpya ya mwaka jana alafu kubwa, music system ni latest, fridge latest alafu kwasababu I am a tech guy, nna laptop latest tukiweka hapa bei ya izo vitu napata ma iphone eleven yakutosha tu, nin
Mfano nna jamaangu super wakala wa voda ana bonus ya kama milion 20 kwa mwez ana kitoyota runx na tecno alafu sio kwamba mshamba hapana ameset priority kwenye mambo mengine tu. Kwahyo mkuu ni priority tu ila kuniambia kwamba watu ni maskini sana huku sio kweli mkuu wengine wana mizigo haswaaa ila wapo low profile.
Nyie nendeni mpaka iphone 20 yangu ikiharibika ntanunua nyingine tena zigaribike simu zote yan ya android na ios, saivi mkuu wacha madogo wasome shule nzuri na waish vizuri ntajitahid mkuu,
Sent from my iPhone using JamiiForums