wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Tunajidanganya sana, gari ya huo mwaka inaweza kuwa ghali kuinunua huko Japan lakini ushuru wa uchakavu utakua mdogo au usitozwe kabisa. Kama sikosei gari yenye miaka nane haina ushuru wa uchakavu.
Kwa mantiki hiyo, ukiweza kulipia gari ya 2015 au 2013, utasalimika na gharama za uchakavu. Vile vile inategemea unaongelea aina gani ya gari.
Utakuwa ni ujinga kununua gari la 1986.
Hata mo dewji au mtoto wa bakhressa hawezi kununua hata kama ni bei ghali
Theoretically YES but Practically BIG NO.
Gari latest CIF yake tu ni ya kufa mtu na bado ukija kwny calculator ya TRA utakuta CIF Yako imeizidi CIF ya TRA utapigwa tena parefu kuliko hesabu iliyopo kwny calculator ya TRA na BTW ile
damping fee ni % ndogo/ya kawaida sana.
Punguza ushamba dogo.Sijasema sipend watu wawe na hela ila nikuwa humu ndan wenye hela hawapo.
Hata wewe mwenyewe unatumia iPhone toleo la miaka minne nyuma wakati Leo hii tupo kwenye 11 tunaelekea 12[emoji14]
ZISIWEPO KABISAAAAAA!!!!!!!!!!!
Hahaha hahaha hahaha ni kweli kabisa mkuuuAnasahau humu kuna makatibu wakuu wa wizara(Kitila mkumbo) ,kuna mawaziri(Mwigulu,Kigwangala),wabunge kama Nape etc na kuna Seniors kibao kutoka fields zote wame keep low profile.
Utakua hujui hata huko duniani kuna magari yanakua categorized as classic/vintage cars.
Huko duniani wakina bill gates wananunua Porsche 959 ya mwska 1986 na thamani yake ni $1.5mil,hao wakina MO&watoto wa bakhressa waka sio kipimo cha wao kujua magari sanasana wao wataishia tu kukwambia Range rovers,lambo,ferrari,G-Wagon.
Magari ni passion/hobby kwa watu wengine.
Kwenye ushuru inawezekana, kuna ile kitu wanaita UCHAKAVU (10 yrs rule).Yeah ni kweli range rover sport HSE ya 2007 ni ghali kuliko ya 2010.
Kumbe simu ni kipimo cha pesa?
Kumbe simu ni kipimo cha pesa?
Anasahau humu kuna makatibu wakuu wa wizara(Kitila mkumbo) ,kuna mawaziri(Mwigulu,Kigwangala),wabunge kama Nape etc na kuna Seniors kibao kutoka fields zote wame keep low profile.
Bila kumsahau KIDUKU LILOAnasahau humu kuna makatibu wakuu wa wizara(Kitila mkumbo) ,kuna mawaziri(Mwigulu,Kigwangala),wabunge kama Nape etc na kuna Seniors kibao kutoka fields zote wame keep low profile.
Hili sidhan kama kuna kitu cha namna hiyo unless uje na evidenceLabda kwa magari mapya, kwa used cars sio lazima kuwa hivyo. Gari ya 2007 inaweza kuwa ghali kuliko ya 2010.
Lakini pia kujua generations za magari sio jambo baya kwa mnunuzi.