wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Tunajidanganya sana, gari ya huo mwaka inaweza kuwa ghali kuinunua huko Japan lakini ushuru wa uchakavu utakua mdogo au usitozwe kabisa. Kama sikosei gari yenye miaka nane haina ushuru wa uchakavu.
Kwa mantiki hiyo, ukiweza kulipia gari ya 2015 au 2013, utasalimika na gharama za uchakavu. Vile vile inategemea unaongelea aina gani ya gari.
Theoretically YES but Practically BIG NO.
Gari latest CIF yake tu ni ya kufa mtu na bado ukija kwny calculator ya TRA utakuta CIF Yako imeizidi CIF ya TRA utapigwa tena parefu kuliko hesabu iliyopo kwny calculator ya TRA na BTW ile
damping fee ni % ndogo/ya kawaida sana.