Calculator ya kodi ya gari TRA imepunguza thamani ya baadhi ya magari?

Kuna dogo wa JF alienda kununua Range Rover sport ya 2018 mwaka jana borgsbug aliinunua akaipakia kwenye meli durban na kurudi zake mjini na yupo nayo hapo mwenzie alinunua Benz nadhani G 63 na Landcruise pick up na miaka mingi walikua wanatumia gari za kawaida ila baada ya kumaliza Mambo yao ya msingi wakaamua kupumzika na hayo madudu na wapo wengi wanaishi hivyo...
 
Punguza ushamba dogo.

Poverty ya kwenye ukoo wako usiihamishie kwa mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app

Bora umesaidia mkuu yan jamaa anataka wote tuwe makapuku sasa ndio nini ? Tuwe tunapeana maneno ya faraja ili tuweze kutafuta hela kwa nguvu maisha mafupi matamu, Tutafute hela tusiwakejeli watu, ananifundisha somo kwamba umasikini ndio kitu kibaya sana mtu akiwa hana hela anataka wote msiwe nazo badala na yeye apambane awe nazo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dola elfu 10,000 ni sawa Tshs
10,000,000 x 2,200 = 22,000,000,000/-
 
Dola elfu 10,000 ni sawa Tshs
10,000,000 x 2,200 = 22,000,000,000/-
Dola elfu kumi haiwezi kuwa 22B.Haujui mahesabu simple ya exchange rate mkuu.
Humj dollae elfu kumi wanaweza kuwa nazo wengi sana amini.
😃😃Nakumbuka nilienda kumuomba link mtu anisaidie kukutana na ma CEO/Owners wenye kampuni za turnover ya 500M kwa mwaka, niliekuwa namuulizia nikawa nampuuza.Akaniambia hata yeye anafika!!!
Mwaka huu nimesindikiza mtu yuko simple sana,kwenda kudai deni.Kufika nakuta anadai almost dollar laki 4 na ushee(narudia us dollar 400,000)
 
Angalia alichoandika
Ni dola elfu 10,000, siyo dola elfu 10
 
Ndo maana nimemkubalia maana alishaanza kuniona Mimi mdangaji lakini I swear kuna watu jf wako vzr kiukweli kabisaa wanawake na wanaume pia halafu wazungu balaa!!!muache akaege na wivu wake huo aone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee watu wana hela humu, acha dharau dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…