Calculator ya kodi ya gari TRA imepunguza thamani ya baadhi ya magari?

Calculator ya kodi ya gari TRA imepunguza thamani ya baadhi ya magari?

Hili sidhan kama kuna kitu cha namna hiyo unless uje na evidence
Unataka evidence, hiyo ni simple tu!!
Screenshot_20200519-132550.jpg
Screenshot_20200519-132451.jpg
 
Kuna dogo wa JF alienda kununua Range Rover sport ya 2018 mwaka jana borgsbug aliinunua akaipakia kwenye meli durban na kurudi zake mjini na yupo nayo hapo mwenzie alinunua Benz nadhani G 63 na Landcruise pick up na miaka mingi walikua wanatumia gari za kawaida ila baada ya kumaliza Mambo yao ya msingi wakaamua kupumzika na hayo madudu na wapo wengi wanaishi hivyo...
 
Punguza ushamba dogo.

Poverty ya kwenye ukoo wako usiihamishie kwa mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app

Bora umesaidia mkuu yan jamaa anataka wote tuwe makapuku sasa ndio nini ? Tuwe tunapeana maneno ya faraja ili tuweze kutafuta hela kwa nguvu maisha mafupi matamu, Tutafute hela tusiwakejeli watu, ananifundisha somo kwamba umasikini ndio kitu kibaya sana mtu akiwa hana hela anataka wote msiwe nazo badala na yeye apambane awe nazo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mbona kama hupend watu wawe na hela ? yan inamana hakuna mtu mwenye excess ya dola elfu 10000 ? mkuu sio kweli , hela haichagui mkuu yan kwenye watu laki tano pakosekane watu hata ishirini wenye milion 100+ ? me siamini..

Sent from my iPhone using JamiiForums
Dola elfu 10,000 ni sawa Tshs
10,000,000 x 2,200 = 22,000,000,000/-
 
Dola elfu 10,000 ni sawa Tshs
10,000,000 x 2,200 = 22,000,000,000/-
Dola elfu kumi haiwezi kuwa 22B.Haujui mahesabu simple ya exchange rate mkuu.
Humj dollae elfu kumi wanaweza kuwa nazo wengi sana amini.
😃😃Nakumbuka nilienda kumuomba link mtu anisaidie kukutana na ma CEO/Owners wenye kampuni za turnover ya 500M kwa mwaka, niliekuwa namuulizia nikawa nampuuza.Akaniambia hata yeye anafika!!!
Mwaka huu nimesindikiza mtu yuko simple sana,kwenda kudai deni.Kufika nakuta anadai almost dollar laki 4 na ushee(narudia us dollar 400,000)
 
Angalia alichoandika
Ni dola elfu 10,000, siyo dola elfu 10
 
aisee noma sana aisee anasahau kuwa hela haichagui sehemu ya kuingia inaingia popote pale, aangalie wazee wa kikinga wanatumia aina gani za simu kariakoo pale alafu achek wana magorofa mangapi ndio ataelewa hela ni nini

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndo maana nimemkubalia maana alishaanza kuniona Mimi mdangaji lakini I swear kuna watu jf wako vzr kiukweli kabisaa wanawake na wanaume pia halafu wazungu balaa!!!muache akaege na wivu wake huo aone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nan madam? Kati ya watu laki 5 humu ndan wote njaa tu!! Hawahawa ikifika tarehe 22 wanaulizia sms za nmb?

Njoo na ushahidi kuwa walishakuhonga japo hata kiwanja. Sio kukunulia beer na nyama kisha mnaishia gesti za uchochoroni.

Nb;wenye hela hata hawajui jf ni kitu gan
Wee watu wana hela humu, acha dharau dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom