Calendar 2013

Calendar 2013

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Posts
848
Reaction score
191
CHUKUA HIYO:Habari njema kwa wale wasio na kalenda za 2013;nakukumbusha usihangaike kununua hiyo.Kwani unaweza kuitumia ile ya mwaka 1985, 1991, na 2002 zipo sawa na hii ya mwaka 2013.
Nakutakieni siku njema.
 
Acha ubahili dogo,ka nunue kalenda unataka watu waje kula kwenu,biashara za wtu hzi ujue.
 
CHUKUA HIYO:Habari njema kwa wale wasio na kalenda za 2013;nakukumbusha usihangaike kununua hiyo.Kwani unaweza kuitumia ile ya mwaka 1985, 1991, na 2002 zipo sawa na hii ya mwaka 2013.
Nakutakieni siku njema.

hahah funny fact. Nice knowing that
 
Back
Top Bottom