California vs Japan

California vs Japan

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
1000127021.jpg
USA ni habari Nyingine.
Uchumi wa California tu unakaribiana na nchi tajiri ya Japan

Hilo ni Jimbo moja tu katika majimbo 50
Ni haki Marekani kutawala dunia
 
Ikuruhusu akili yako ifanye kazi yote yanawezekana mtumish
 
Ni sawa na ushangae kwanini;
"Dar Ina eneo dogo Sana kuliko Mikoa mingine Ila Ina mapato Sana kuliko Mikoa yote nchini, pamoja na nchi ya Burundi"
 
Uchumi unafanya kazi ki vipi ?

Mind you Calfonia in uchumi mkubwa kuliko Russia tumia akili kujibu hili swali.
 
Back
Top Bottom