Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Muuza sura yupo kwenye mabango mengi ya Vodacom.Hivi huyo Calisah ndo nani?
Halafu hilo jina mbona ni kama la kike....
Hivi huyo Calisah ndo nani?
Halafu hilo jina mbona ni kama la kike....
Sio kweliCalisa ni Model
eti Jina lake halisi ni Shija Kwirasa...
Hahahaha! Kaka yake Dinazarde huyo.Calisa ni Model
eti Jina lake halisi ni Shija Kwirasa...
Ukweli ni upi?Sio kweli
Picha za utupu?alizipata wapi calisa.
Carisa AhmedUkweli ni upi?
namuonea huruma wema sa hvi anaruka na huyu mara yule kidogo yukona huyuCalisah aliwekewa mtego alipoenda kwa wema kuomba msamaha, kufika akadakwa na polisi waliokuwepo hapo na kuambiwa atoe simu yenye video za utupu
alidai hana simu na kupelekwa kisha kusekwa rumande