Calisah ashikiliwa na polisi kwa kuvujisha picha za utupu za Wema Sepetu

Calisah ashikiliwa na polisi kwa kuvujisha picha za utupu za Wema Sepetu

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Calisah aliwekewa mtego alipoenda kwa wema kuomba msamaha, kufika akadakwa na polisi waliokuwepo hapo na kuambiwa atoe simu yenye video za utupu
alidai hana simu na kupelekwa kisha kusekwa rumande
 
Kwann nay Aliku anajipiga self za utupu? Au Aliku anataka kuweka kumbukumbu na kama ndo hivo aje kuwaonyesha wakina nan? Aaache mambo ya kishamba wema
 
Back
Top Bottom