mmakondehuru
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 385
- 149
Mbona me naona kama huyo wema ndo kashika camera sasa ni nani aliyevujisha kama sio wema mwenyewHii ni fundisho kwa wanawake wote usiparamie Mwanaume hovyo kabla hujamjua vingenevyo muanze na system ya Kugegendwa gizani
Teh teh teh teh tehHivi kumbe mwanaume wa dar ndo yuko ivo??? Mbona kakata nywele za machoni???
Moyo mashineHuyo mchizi amenifurahisha sana ana wivu sana eti anaulizwa idris sultan unamjua eti anasema amjui ata kumsikia ajawai
Wema mkarimu sanaHuyu demu x alikataa juzi kati kuwa ajagegedana na huyo dogo duuuh
Umeua mkuu hahahaahhaahah, afu mbona huyu wema hazeeki?Bongo movie biach [emoji28] na mimi nipo kwenye foleni
Wema ana umri wa miaka 24 wewe mbona unamuongezea sio vizuriWema anahitaji maombi ya watanzania kusema kweli. Kwa umri wake 28 years kufanya haya mambo ni aibu.
nilipokua na umri wake tayari nilikua mke wa mtu na watoto wawili, very responsible na famila yangu. Anatakiwa awaangalie wenzie kina Aunty Ezekiel, Kajala, Irene Uwoya walivyotulia. yeye bado anahisi ana umri wa Gigi Money. Eehhh... Mungu sadia hiki kizazi
Samahani tutake radhi, tuna ushamba mwingine lkn sio wa kutinda nyusi.We hujui kuwa wasukuma ndio washamba/wajinga tz nzima?
Faiza foxy?Ngoja nami nivujishe mapicha ya nanii...
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Ngoja nami nivujishe mapicha ya nanii...
Hv huyu wema hakui jamani? Maana nakumbuka wakati anagombea umiss Tz, mi nilikuwa form 3 hadi leo nakaribia miaka 30 na mtoto juu lkn mwenzangu bado yuko na 24 tu, dah..... Hatari sana.Wema ana umri wa miaka 24 wewe mbona unamuongezea sio vizuri
[emoji28]Hv huyu wema hakui jamani? Maana nakumbuka wakati anagombea umiss Tz, mi nilikuwa form 3 hadi leo nakaribia miaka 30 na mtoto juu lkn mwenzangu bado yuko na 24 tu, dah..... Hatari sana.