Calisah azidi kuvujisha picha za Wema

Calisah azidi kuvujisha picha za Wema

Huyo mchizi amenifurahisha sana ana wivu sana eti anaulizwa idris sultan unamjua eti anasema amjui ata kumsikia ajawai
 
Hii ni fundisho kwa wanawake wote usiparamie Mwanaume hovyo kabla hujamjua vingenevyo muanze na system ya Kugegendwa gizani
d4119adbb792523c18693b81f9264d8f.jpg
c85d6e98fba936a5c794b38d9e76bfe9.jpg
Mbona me naona kama huyo wema ndo kashika camera sasa ni nani aliyevujisha kama sio wema mwenyew
 
Tatizo wanaume wa dar ndo zao...wakisha pakia kifurushi cha mhogo mbichi,karanga mbichi,kipande cha tango,kipande cha tikiti maji akishushia na supu ya pweza!basi ndo zao hizi!
 
Wema anahitaji maombi ya watanzania kusema kweli. Kwa umri wake 28 years kufanya haya mambo ni aibu.
nilipokua na umri wake tayari nilikua mke wa mtu na watoto wawili, very responsible na famila yangu. Anatakiwa awaangalie wenzie kina Aunty Ezekiel, Kajala, Irene Uwoya walivyotulia. yeye bado anahisi ana umri wa Gigi Money. Eehhh... Mungu sadia hiki kizazi
Wema ana umri wa miaka 24 wewe mbona unamuongezea sio vizuri
 
Kuna point ataanza kukumbuka kuwa anatakiwa kuzaa na kulea familia yake lakini itakuwa too late maana atakuwa kashaanza kusalimiana shikamoo na menopause na hakuna mwanaume anayependa kuoa janamke limalaya
 
Huyu Wema hiyo K yake aisee...maana kila kukicha unasikia jamaa mpya nae kala mzigo!
 
Hv huyu wema hakui jamani? Maana nakumbuka wakati anagombea umiss Tz, mi nilikuwa form 3 hadi leo nakaribia miaka 30 na mtoto juu lkn mwenzangu bado yuko na 24 tu, dah..... Hatari sana.
[emoji28]
 
Back
Top Bottom