Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,367
- 4,067
Laana ya Nuhu basi inatusumbua viumbe weusi....si bure uzuri pesa au sura...!!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walivosema tumetokea familia ya Primates, ulidhani utani?Hiki ndicho waafrika tulichojaaliwa nadhani.
Angalia black america na weusi wengi wanaoishi nje utakubali kwamba sisi ni watu wa ngono na starehe tu hakuna jema tunawaza, imagine dunia bila mzungu sijui ingekuaje
Mkuu habari ndio imetoka hivyo so kama vipi mtafute uone anavyofanya kaziUzi una umaskini mkubwa wa contents, tungependa kufahamu namna mimba hizo zitakavyotungwa, kama ni kwa teknolojia au natural... Hata hivyo vyovyote iwavyo...kuna mkanganyiko mkubwa mno wa kimaadili...na hivyo haitakuwa kazi rahisi...atapaswa kupata...ethical Clarence certificate, kitu ambacho naamini masharti yake ...yatamshinda tu...
Pusti