Calisah kufungua duka la kupachika mimba

Laana ya Nuhu basi inatusumbua viumbe weusi....si bure uzuri pesa au sura...!!!?
 
Mbona nasikiaga jamaa mchicha mwitu huyu?
 
Kutojitambua Ni Shida Kuliko Shida Zote Duniani....
 
Dar wanaume tumebaki wachache sana, anawashwa huyu, mara avae viatu viatu kike
 
Hiki ndicho waafrika tulichojaaliwa nadhani.

Angalia black america na weusi wengi wanaoishi nje utakubali kwamba sisi ni watu wa ngono na starehe tu hakuna jema tunawaza, imagine dunia bila mzungu sijui ingekuaje
Walivosema tumetokea familia ya Primates, ulidhani utani?

yaan kuwa mwafrika tayari ni janga.
 
Mkuu habari ndio imetoka hivyo so kama vipi mtafute uone anavyofanya kazi
 
Kweli WABONGO sisi tumefikia HAPA? yaani huyo nae ni MZURI wa kutamba MITANDAONI?mbona wa kawaida tu.....awache kutudhalilisha WABONGO....
 
hivi ukimcheki huyo chalii unaona anafanana na kazi anayoisema!? labda kama atakuwa anafanya artificial insemination
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…