Calisah ni model wa kiume Mwenye kutoa huduma ya kuzalisha wanawake wenye Pesa.

Calisah ni model wa kiume Mwenye kutoa huduma ya kuzalisha wanawake wenye Pesa.

Calisah amethibitisha yeye anatoa huduma ya kuzalisha wanawake wenye Pesa, kwa sababu wanawake wengi wanapenda alivyo handsome Kwahiyo mbegu yake ni dili. Kwa mwanamke unayetaka mnakubaliana unamlipa, mnafanya kazi ya kupata mtoto.

Na amesema wanawake wengi hufanya mchezo Huu hasa wale wenye wanaume wenye sura zisizokuwa na mvuto

Model huyu alishawahi kutoka na mwanadada Wema Sepetu.

View attachment 609778 View attachment 609779 View attachment 609780
Us€ng€ huuu...haya mambo ndio yanafanya wanaume wa dar tuzaraulike....stupid
 
Ana uhamdsome gani mbona wa kawaida sana au anataka na sisi tutupie ID zetu za mweli!!
Nyoooo
 
Hahahhahaa kavunja sheria kifungu no ngapi?

Prostitution si ni kosa kwenye penal code??, maana huu ni umalaya, kuutumia mwil kingono ili kupata mtonyo. Tena na amejtangaza kabsa inafaa awekewe na conspiracy of public morals kabisa. [emoji1549][emoji1549][emoji1549]
 
Uzuri wa mwaume wa Bongo upo kwenye Bank account yake.namba zinavyozidi kuwa nyingi ndiyo anakuwa very handsome.na kinyume chake ni sawa pia.kinyume na hapo ni kelele tu
 
Huyu shori 15 minutes zake bado kumalizika? Kanajiona alpha male sababu ya looks only? Usenge mwingine bana.
 
Back
Top Bottom