Call waiting........

duuu haya kijana usione soo wala ucogope ukali wake,sema nae kama walivyokushauri wadau hapo juu
 
piga chini fasta mkuu mitafaruku kama hiyo ndo inaletaga brain concussion.......ohoo we shauri yako
 
hata nafas ya kumuuliza hataki kunipa ye anachotaka ni kuachana 2.

mpe haki yake si ndo anachotaka ya nini kung'ang'ania usipopendwa yawezekana hicho ni kisingizio ana sababu zake za msingi ambazo akikwambia utazimia.
 
mpe haki yake si ndo anachotaka ya nini kung'ang'ania usipopendwa yawezekana hicho ni kisingizio ana sababu zake za msingi ambazo akikwambia utazimia.

haki zote ninampa labda aseme k2 kingne ila sio haki. "farasi nimpandae hanitish kwa mbio zake"
 
Then give her space, send sms moja kila siku; mwambie jinsi gani unavyompenda. Mwisho atajibu na mtakuwa poa; ila uache kuongea na watu usiku!

aah! Nae amezid bwana,ki2 kidogo 2 anamaind
 
dah,kaz ipo yan call waiting? haya ngoja nikupe maujuz. km upo karibu nae kwa maana ya kwamba mnaweza kuonana. mwambie muonane iwapo una uhakika kuwa ulikuwa unaongea na ndugu yako kwel mwoneshe call register ya hyo ndg yako mana muda aln pga utaonekana na muda uloongea na ndguyo utaonekana. km umeshadelete bas imekula kwako. asipoamini atakuwa na lake jambo au alikuwa anakutaftia sababu. asante!
 
simu hataki kupokea,sms hajibu cjui nitamwambiaje 2kutane, yaan nachoka kbs
 
huyo analake jambo au si mzoefu na mtandao wa tigo. aking'ang'ania sana piga chini
 
Huyo ana yake,mwambie aache ujinga,ina maana mtu hata kama ni mpenzi wako ina maana usiongee na watu wengine hata kama ni muhimu,hata kama ni saa ngapi.yeye kama ana la kusema na aseme kama kapata mwingine ila hiyo sio sababu.
 
c bure,kuna jambo kubwa umemfanyia.Huwezi kudata kiivyo..

Diamond jokate.
yaani huwez amini jokate sijamfanyia k2 chochote ila me nashangaa why kageuka mbogo ,me nakushaur usimfanyie DIOMÖND km nnavyofanyiwa mm
 
Huyo ana yake,mwambie aache ujinga,ina maana mtu hata kama ni mpenzi wako ina maana usiongee na watu wengine hata kama ni muhimu,hata kama ni saa ngapi.yeye kama ana la kusema na aseme kama kapata mwingine ila hiyo sio sababu.

ata me nahisi hivyo ila hawa wasichana wenzie humu wanamtetea sijui kwanin'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…