Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu we mbona umenikimbia kwenye mtongozo wangu kule PM? Sichezi tena na wewe:hat:
hata nafas ya kumuuliza hataki kunipa ye anachotaka ni kuachana 2.
Sasa unasubiri nini kumuacha? Fanya fasta muache kabla hajakuacha!
BTW ana miaka kumi na ngapi?
mpe haki yake si ndo anachotaka ya nini kung'ang'ania usipopendwa yawezekana hicho ni kisingizio ana sababu zake za msingi ambazo akikwambia utazimia.
Then give her space, send sms moja kila siku; mwambie jinsi gani unavyompenda. Mwisho atajibu na mtakuwa poa; ila uache kuongea na watu usiku!
simu hataki kupokea,sms hajibu cjui nitamwambiaje 2kutane, yaan nachoka kbsdah,kaz ipo yan call waiting? haya ngoja nikupe maujuz. km upo karibu nae kwa maana ya kwamba mnaweza kuonana. mwambie muonane iwapo una uhakika kuwa ulikuwa unaongea na ndugu yako kwel mwoneshe call register ya hyo ndg yako mana muda aln pga utaonekana na muda uloongea na ndguyo utaonekana. km umeshadelete bas imekula kwako. asipoamini atakuwa na lake jambo au alikuwa anakutaftia sababu. asante!
yaani nampenda sana na kumuacha siwez ndicho kinachoniumiza zaid
Umezaliwa nae? Acha kuonyesha udhaifu.
"Samahani namba unayopiga kwa sasa inatumika tafadhali subiri"Maneno haya yameniweka kwenye mtafaruko na mpenz wangu mida ya tigo promo saa nne usiku.Amenuna hataki hata tuöngee kwa madai eti nilikua naongea na mpnz mwingne na anataka 2achane.Hivi wajamen tatizo ni call waiting au anayake mengine?
simu hataki kupokea,sms hajibu cjui nitamwambiaje 2kutane, yaan nachoka kbs
nahisi we hujawai kupenda ndo maana unaniona me mdhaifu.Chezea kupenda weye!
yaani huwez amini jokate sijamfanyia k2 chochote ila me nashangaa why kageuka mbogo ,me nakushaur usimfanyie DIOMÖND km nnavyofanyiwa mmc bure,kuna jambo kubwa umemfanyia.Huwezi kudata kiivyo..
Diamond jokate.
Huyo ana yake,mwambie aache ujinga,ina maana mtu hata kama ni mpenzi wako ina maana usiongee na watu wengine hata kama ni muhimu,hata kama ni saa ngapi.yeye kama ana la kusema na aseme kama kapata mwingine ila hiyo sio sababu.
why you love her that Much??..Love is craizy!..
Jk D..
aah! Me nahisi ni MOYO WANGU 2
aah! Nnapopenda ndo hapa ambapo mambo yamemebadilika yaan ningekua na uwezo ningekunya hata pombe ili nipunguze MAWAZO......Good.Fuata moyo wako pale unapopenda.