Call waiting........

Call waiting........

"Samahani namba unayopiga kwa sasa inatumika tafadhali subiri"Maneno haya yameniweka kwenye mtafaruko na mpenz wangu mida ya tigo promo saa nne usiku.Amenuna hataki hata tuöngee kwa madai eti nilikua naongea na mpnz mwingne na anataka 2achane.Hivi wajamen tatizo ni call waiting au anayake mengine?

tigoooooooo expreeessss urselfuuuuuuuuuu
 
Yupo form ngapi??akikua then akakutana na makubwa ataacha hata dada zake tulikua hivyo enzi hizoo..
 
SAIV ILI TATIZO LA call waiting imekuwa issue kwa weng
 
Jaman siku ya nne hii bado hajaonesha utofaut,ananiumiza jaman!
 
Back
Top Bottom