Naskia washaita barabara moja kule Dar Barrack Obama drive....hawa watanzania wajinga kweli.:roll:
Thank you teenage girl:smile-big:Forgot this one, actually in this clip Obama posed under a road named after him a road that leads to one of the three gates of the Ikulu...:smile-big:
Mbona juzi juzi kuna barabara ilipewa jina la KIBAKI, je hapo utatoa comment gani kuhusu Watanzania? MEGA FOOLS au?Naskia washaita barabara moja kule Dar Barrack Obama drive....hawa watanzania wajinga kweli.:roll:
Mbona juzi juzi kuna barabara ilipewa jina la KIBAKI, je hapo utatoa comment gani kuhusu Watanzania? MEGA FOOLS au?
Here we go again!! Wewe kama Mkenya una mamlaka gani ya ku-question mahamuzi ya TANZANIA? Tatizo la baadhi yenu - repeat "BAADHI YENU" sio wote mko arrogant by default, kujiona ni weledi sana wa mambo kuliko raia wengine ndani ya Africa mashariki - what a vain effort of trying 2 be bigger than your HEADS - mtu na akili zako timamu unawezaje ku-pick,pick mambo madogo madogo kama jina la barabara na kujaribu kulikuza out of propotion ukiwa na madhumuni ya ku- get even na WATANZANIA?Sioni haja, hapa Kenya hatujaita barabara yoyote Kibaki, mbona nyinyi muite?
Here we go again!! Wewe kama Mkenya una mamlaka gani ya ku-question mahamuzi ya TANZANIA? Tatizo la baadhi yenu - repeat "BAADHI YENU" sio wote mko arrogant by default, kujiona ni weledi sana wa mambo kuliko raia wengine ndani ya Africa mashariki - what a vain effort of trying 2 be bigger than your HEADS - mtu na akili zako timamu unawezaje ku-pick,pick mambo madogo madogo kama jina la barabara na kujaribu kulikuza out of propotion ukiwa na madhumuni ya ku- get even na WATANZANIA?
I exposed them with their grand hypocricy, kuna barabara inaitwa Barack Obama Rd huko Mombasa hili swala limewazodoa maana wameonekana wapumbavu zaidi maana mbali ya barabara, walifanya a public holiday kusheherekea ushindi pia walijenga uwanja wa ndege Kisumu ili u-accomodate Air Force One ukiachilia kusindika bia inaitwa Senator lager! Unfortunately all these efforts did not move Obama to visit there as a President but inclined by self intuition and his Government policies to pay homage to a humble Tanzania! That rubbed Kenyans badly....that started to consider itself as a 51 state of United States of America with the use of Obama as theirs even on tourism exhibitions!Mbona juzi juzi kuna barabara ilipewa jina la KIBAKI, je hapo utatoa comment gani kuhusu Watanzania? MEGA FOOLS au?
Ni kweli wamezodoka sana. Lakini Waswahili husema: Maji yakimwagika hayazoleki!...hili swala limewazodoa..
With his physical presence as a sign of acknowledgement that a Road is named after him! How sweet is that?:tongue: i wonder whether he is even aware of the existence of Obama Rd in Mombasa!Thank you teenage girl:smile-big:
I exposed them with their grand hypocricy, kuna barabara inaitwa Barack Obama Rd huko Mombasa hili swala limewazodoa maana wameonekana wapumbavu zaidi maana mbali ya barabara, walifanya a public holiday kusheherekea ushindi pia walijenga uwanja wa ndege Kisumu ili u-accomodate Air Force One ukiachilia kusindika bia inaitwa Senator lager! Unfortunately all these efforts did not move Obama to visit there as a President but inclined by self intuition and his Government policies to pay homage to a humble Tanzania! That r
rubbed Kenyans badly....that started to consider itself as a 51 state of America with the use of Obama as theirs even on tourism exhibitions!
Hawa jamaa na masifa yao kidogo wam-cost Obama Urais maana alivyotangaza nia ya kugombea walianza kusema Obama is Kenyan born etc etc just to get that piece of fame with election buzzy in 2008, Republicans raised their contention on Obama's POB citing Kenyan media reporting (that intendend to steal a limelight) to an extent of even quoting Mama Sara who to her ignorance had said she witnessed Obama's birth in Kenya! Without knowing kwamba in the US only a citizen by birth is allowed to contest for Presidency! Walivyo mambumbumbu! be aware of Kenyans always when it comes to self glorification!Sijui niseme nini mkuu GEZA, nina kawaida ya kufatilia sana thread zako zinazo zungumzia hulka ya jamaa hawa - tell you what? unawafahamu like back of your hand; yaani wakati mwingine wanafanya mambo ya kushangaza sana - masaa yote wanafikilia biashara tu, kwao utu ni secondary!! Alafu kibaya zaidi wana hulka ya kutaka kufitinisha watu, watu walio kwenda Sudan ya Kusini juzi juzi hapa, wanasema jamaa hawa wanataka kulifanya Taifa hilo kama koloni lao, hawataki watu wengine kutoka Africa Mashariki kwenda huko kufanya Biashara! Hulka hiyo wanaitumia vile vile nchini Rwanda we sema Mh Kagame pamoja na mapungufu yake yuko makini sana na jamaa hawa.
Nani kawambia OBAMA ni mjinga wa kuweza kurubuniwa ovyo na watu wapenda sifa na wapenda kutumia umaharufu wa OBAMA kwa madhumuni ya kuendeleza biashara zao na utalii, hawana uchungu wowote WA KWELI na OBAMA save wajaluo wenzake wa Nyanza; OBAMA anawajua vilivyo hawezi hata siku moja akasahau the late Mzee Jomo Kenyatta na administration yake ilivyo mdhalilisha baba yake mzazi - mzee OBAMA aliwahi kuambiwa na Kenyatta kwamba atahakikisha anasaga lami mpake sole ya viatu vyake inakwisha akitafuta kazi ya kuajiliwa - mzee wa watu alikufa a broken man na PhD yake ya ECONOMICS!!
Mkuu GEZA - self intuition ya Rais OBAMA unayozungumzia kuhusu watu hawa inatokana na mambo ya kinyama walio mfanyia BABA yake mzazi, Rais OBAMA hatakaa hata siku moja eti hayasahau na tuki add a salt to an injury kuhusu usanii uliyo tumika katika upigaji kura wa hivi karibuni nchini Kenya kwa kuhakikisha Mjaluo mwenzake haoni ndani, mbinu hizo za kutibua kura kimaksudi ndio kulimtibua zaidi Rais OBAMA - Administration ya Kenya wasijidanganye kwamba Rais OBAMA alikuwa hafatilii kwa karibu sana kilicho kuwa kinajiri katika kuhesabu kura.
Geza umenifanya nikaribie kuvunjika mbavu kwa vicheko uliposema walianza kujitayarisha kutagazwa kuwa jimbo la 51 la Merikani - wako radhi kusema lolote kama mbinu za kijitangaza Kimataifa, kama waliwahi kurubuni DUNIA kwamba Mlima Kilimanjaro huko nchini mwao kwa nini tushangae ya jimbo la 51 la MERIKANI kuwa Barani Africa! Oh yes, kwani Hawaii hiko umbali gani kutoka bara la Uncle SAM (U.S) - wanaweza kuja na hoja kama hii ku-justfy such a wild idea.
Mwisho nimalizie kwa kusema kidogo kuhusu business man wa Kenya ambaye alikuwa ana spit fire katika Radio ya BBC World Service, analalama kwamba kwa nini OBAMA hataki kupitia/zuru Kenya kwanza kabla hajaja TANZANIA, eti Tanzania hatuna lolote la maana zaidi ya mambo ya ujamaa na kijitegemea!! Yaani mawazo yake yako kwenye miaka ya sabini, sijuhi hata kama amewahi kutembelea Tanzania siku za karibuni; eti Tanzania hakuna wafanya biashara wa maana wa kuweza kuingia ubia na wafanya biashara kutoka Merikani!! As far as they are concern the WORLD is KENYA!! Masaa yote wako self centered TU na kajishahau kwamba anayo yazungumza Dunia nzima inamsikiliza akipwayanga na ngonjera zake zisizo na mshiko.
Nataka nieleweke kwamba binafsi sina tatizo na Raia walio wengi nchini Kenya, tatizo langu ni hawa wachache wenye hulka za ajabu ambao hawajui kabisa kuheshimu binadamu wenzao.
Mara oooh Watanzania wamechoma moto mbuga ya Serengeti ili kuzuia Wanyama wasiamie MASAI MARA!!!! Childish mentality at its ZENITH.Vichwa maji taarifa ya habari utasikia ooh kuna mtu amekuwa kipofu kwa kunywa chang'aa, mara ooh simba wa Tanzania ni Wakenya..mara ooh hawajui Kiingereza..mara ooh Nairobi ni Ulaya..hakuna jipya utoto mwingi sana. Miaka nenda miaka rudi hakuna jipya..wanaweweseka sana!
I exposed them with their grand hypocricy, kuna barabara inaitwa Barack Obama Rd huko Mombasa hili swala limewazodoa maana wameonekana wapumbavu zaidi maana mbali ya barabara, walifanya a public holiday kusheherekea ushindi pia walijenga uwanja wa ndege Kisumu ili u-accomodate Air Force One ukiachilia kusindika bia inaitwa Senator lager! Unfortunately all these efforts did not move Obama to visit there as a President but inclined by self intuition and his Government policies to pay homage to a humble Tanzania! That rubbed Kenyans badly....that started to consider itself as a 51 state of United States of America with the use of Obama as theirs even on tourism exhibitions!
With his physical presence as a sign of acknowledgement that a Road is named after him! How sweet is that?:tongue: i wonder whether he is even aware of the existence of Obama Rd in Mombasa!
Mara oooh Watanzania wamechoma moto mbuga ya Serengeti ili kuzuia Wanyama wasiamie MASAI MARA!!!! Childish mentality at its ZENITH.
One billionaire who is not your father makes you despise your neighbor........good mentality you have.:smile-big:Angalia orodha ya matajiri 40 Afrika nzima..tazama sana nambari 30 utakuja kuna Mtz pale..nionyeshe mtu yeyote toka upande ule..[source: Forbes Africa]
Chuo kikuu wanasoma Dar alafu wanajifanya wajuaji..JAJI MKUU wao kasoma UDSM, wanasheria wengi wamesoma UDSM.:bored:
Hasira zote hizi na kujitutumua kuzungumza kiingereza uchwara kisa Obama kawapiga mikwara. Kazi mnayo mwaka huu!Idiocy, why are you so bitter at the way we conduct our advertisements? Sit back and watch us do business teenage girl.
Hawa jamaa na masifa yao kidogo wam-cost Obama Urais maana alivyotangaza nia ya kugombea walianza kusema Obama is Kenyan born etc etc just to get that piece of fame with election buzzy in 2008, Republicans raised their contention on Obama's POB citing Kenyan media reporting (that intendend to steal a limelight) to an extent of even quoting Mama Sara who to her ignorance had said she witnessed Obama's birth in Kenya! Without knowing kwamba in the US only a citizen by birth is allowed to contest for Presidency! Walivyo mambumbumbu! be aware of Kenyans always when it comes to self glorification!