Nyani haoni kundule...kwani Nairobiwalker hajui kwamba almost 70% za investment za kenya ni za Waingereza na Wamarekani?.....the thing is nchi zote duniani zinahitaji wawekezaji,capital in-flow ni muhimu sana kwa ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote.Challange kwa Tanzania ni moja tu...tumejipangaje?Anachokionge Nairobi walker yuko sahihi kwani hata ukijikita kwenye falsafa za Mwl.Nyerere maendeleo kamwe hayataletwa na yeyote ama kwa kupewa misaada mingi
Maendeleo kwa maana ya endelevu yanatakiwa yaletwe na watu wenyewe kwa kujitegemea juhudi zenu zaidi kuliko kusaidiwa make hebu fikiria anayekusaidia leo kesho asipokuwepo ama akikutupa utaendelea kuwa tegemezi la nani?
Hasira zote hizi na kujitutumua kuzungumza kiingereza uchwara kisa Obama kawapiga mikwara. Kazi mnayo mwaka huu!
Lol, this one must be in high school.Nyani haoni kundule...kwani Nairobiwalker hajui kwamba almost 70% za investment za kenya ni za Waingereza na Wamarekani?.....the thing is nchi zote duniani zinahitaji wawekezaji,capital in-flow ni muhimu sana kwa ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote.Challange kwa Tanzania ni moja tu...tumejipangaje?
Watu wameandamana juzi Nairobi kwa sababu ya VAT, wanalilia ugali..umewahi kuona wapi Wabongo wanaandamana kisa ugali? umaskini mbaya sana kukosa chakula.
Kazi kubwa ni kulinda nyumba za wazungu na matajiri wachache..kuishi kwenye mabati hakuna choo wala nini! poleni majirani.
Anayejivunia Obama ni nani kama si wewe, geza na wenzako? Umenisikia nikimshabikia?Pole sana NairobiWalker..mbona wewe pia unajivunia Obama ambaye siyo baba yako? Huo ndo tunaita 'utoto'.
Mkikua mtaacha.
Jibu hoja..acha vijembe!stupid bravado wont take you anywhere!Lol, this one must be in high school.
Unasema wabongo 'wajinga'..CJ wa Kenya kasoma wapi?
Wanasheria wengi wamesoma UDSM ndo wanajitamba kwao..
Mwerevu hapigi kelele...anachukua hatua. Nenda shamba kalime kuliko kupiga kelele barabarani...
Jibu hoja..acha vijembe!stupid bravado wont take you anywhere!
the Best Skyline in EA - Dar es Salaam!
FYI my 'neighbour' NairobiWalker, Obama ni rais wa 3 wa USA kufika TZ.
1. Bill Clinton
2. G.W. Bush.
3. Obama...je, unajua rais wa mwisho kukanyaga Kenya?