Calm down, Kenyans; Tanzania is flying!

Calm down, Kenyans; Tanzania is flying!

Pole sana NairobiWalker..mbona wewe pia unajivunia Obama ambaye siyo baba yako? Huo ndo tunaita 'utoto'.
Mkikua mtaacha.
 
Anachokionge Nairobi walker yuko sahihi kwani hata ukijikita kwenye falsafa za Mwl.Nyerere maendeleo kamwe hayataletwa na yeyote ama kwa kupewa misaada mingi

Maendeleo kwa maana ya endelevu yanatakiwa yaletwe na watu wenyewe kwa kujitegemea juhudi zenu zaidi kuliko kusaidiwa make hebu fikiria anayekusaidia leo kesho asipokuwepo ama akikutupa utaendelea kuwa tegemezi la nani?
Nyani haoni kundule...kwani Nairobiwalker hajui kwamba almost 70% za investment za kenya ni za Waingereza na Wamarekani?.....the thing is nchi zote duniani zinahitaji wawekezaji,capital in-flow ni muhimu sana kwa ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote.Challange kwa Tanzania ni moja tu...tumejipangaje?
 
Watu wameandamana juzi Nairobi kwa sababu ya VAT, wanalilia ugali..umewahi kuona wapi Wabongo wanaandamana kisa ugali? umaskini mbaya sana kukosa chakula.
 
Lol, this one must be in high school.
 
Kazi kubwa ni kulinda nyumba za wazungu na matajiri wachache..kuishi kwenye mabati hakuna choo wala nini! poleni majirani.
 
Watu wameandamana juzi Nairobi kwa sababu ya VAT, wanalilia ugali..umewahi kuona wapi Wabongo wanaandamana kisa ugali? umaskini mbaya sana kukosa chakula.

Mjinga akiibiwa hatambui...ni rahisi kudanganywa. Mwerevu akiibiwa hakubali, lazima apige kelele. Hata kule Europe watu huandamana wakinyanyaswa na taxman juu si wajinga.
 
Kazi kubwa ni kulinda nyumba za wazungu na matajiri wachache..kuishi kwenye mabati hakuna choo wala nini! poleni majirani.

Anayeongea ndiye amekua akishabikia billionaire mmoja nchini mwake ilhali kuna mamillioni ya maskini.
 
Pole sana NairobiWalker..mbona wewe pia unajivunia Obama ambaye siyo baba yako? Huo ndo tunaita 'utoto'.
Mkikua mtaacha.
Anayejivunia Obama ni nani kama si wewe, geza na wenzako? Umenisikia nikimshabikia?
 
the Best Skyline in EA - Dar es Salaam!

FYI my 'neighbour' NairobiWalker, Obama ni rais wa 3 wa USA kufika TZ.
1. Bill Clinton
2. G.W. Bush.
3. Obama...je, unajua rais wa mwisho kukanyaga Kenya?
 
Mwerevu hapigi kelele...anachukua hatua. Nenda shamba kalime kuliko kupiga kelele barabarani...
 
Tazama taarifa ya habari ya Kenya kwenye tv yoyote ile..wakati Obama alikuwa hapa walikuwa wanalia na kuomboleza na kusaga meno!

Hawa ndo tunaita, "Noisy Neighbours"...poleni majirani.
 
Unasema wabongo 'wajinga'..CJ wa Kenya kasoma wapi?
Wanasheria wengi wamesoma UDSM ndo wanajitamba kwao..
 
:argue:

Sasa rais wa Mwisho wa USA, kufika KE was Theodore Roosevelt more than 100 years ago!
 
Unasema wabongo 'wajinga'..CJ wa Kenya kasoma wapi?
Wanasheria wengi wamesoma UDSM ndo wanajitamba kwao..

CJ akisomea Tz haimaniishi WaTz werevu. CJ ni Mkenya si Mtz. alichukua opportunity ya kutumia resources za wale ambao hawajui kuzitumia. Mbona Tz yenyewe haina ma experts kama yeye?
 
the Best Skyline in EA - Dar es Salaam!

FYI my 'neighbour' NairobiWalker, Obama ni rais wa 3 wa USA kufika TZ.
1. Bill Clinton
2. G.W. Bush.
3. Obama...je, unajua rais wa mwisho kukanyaga Kenya?

Na bado Tz ndio nchi maskini Afrika Mashariki:smile-big:
 
Mlipotaka kumfukuza Deputy CJ Barasa nani alikuwa CHAIRMAN? Agustion Ramadhan[kutoka TZ] au umesahau?
Mlipopigana 2007, nani walikuwepo kuwapatanisha? Tazama picha utaona Ben Mkapa na JK[kutoka TZ]

Nakukumbusha tu!
 
Back
Top Bottom