Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Very true, maana rule of origin inawza kutumika maana hayo magari sio 100% Kenyan kutokana na parts are made else where.Hivi vi-assembly plant ni matter of seconds vinaweza kuwa sabotaged, Kenya hutumia EA market ku-lure hao jamaa ila haimaanishi kuwa hawawezi kufungua upande wa pili!