U username required JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 343 Reaction score 1,069 Mar 2, 2025 #1 Calvin Marambo mhitimu wa Ilboru sec 2014 ambaye alipata scholarship havard university kwa sasa anafanya kazi kwa bilgate na ni marafiki wakubwa ,wazungu wanamkubali sana pesa nje nje kwa sasa.
Calvin Marambo mhitimu wa Ilboru sec 2014 ambaye alipata scholarship havard university kwa sasa anafanya kazi kwa bilgate na ni marafiki wakubwa ,wazungu wanamkubali sana pesa nje nje kwa sasa.
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Mar 2, 2025 #2 Sasa mbona unaandika hivyo tutaaminije.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 2, 2025 #3 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
U username required JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 343 Reaction score 1,069 Mar 2, 2025 Thread starter #4 Meneja Wa Makampuni said: Sasa mbona unaandika hivyo tutaaminije. Click to expand... Ingia kwenye account yake ya insta anaitwa Calvin Marambo
Meneja Wa Makampuni said: Sasa mbona unaandika hivyo tutaaminije. Click to expand... Ingia kwenye account yake ya insta anaitwa Calvin Marambo
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 2, 2025 #5 Sawa sawa
T Timerlane JF-Expert Member Joined Aug 11, 2022 Posts 1,366 Reaction score 2,589 Mar 2, 2025 #6 Dunia ya Sasa kama ukiwa smart kichwani halafu ukapata platform nzuri, umaskini bye bye labda uharibu mwenyewe.
Dunia ya Sasa kama ukiwa smart kichwani halafu ukapata platform nzuri, umaskini bye bye labda uharibu mwenyewe.