Camala kama Manula, wamefungwa baada ya kutoka tu majeruhi.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Mtampangaje kucheza mechi kubwa mchezaji anaetoka majeruhi? Kama Camala angepona na kucheza derby na Yanga na kufungwa bao lile alilofungwa na Al Masry watu wa hivihivi wangesema amehongwa na Yanga. Manula ndicho kinachomsumbua hadi leo. Kwa maoni yangu, angedaka Ally Salim huenda tofauti ingekuwepo kubwa..
 
Ukweli mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…