Camala,mzamilu,malone kuikosa TMA

Sema kiongozi kila sehemu upo.Leo nataka kuuliza tu sio kwako ata kwa wengine,hivi energy ya kuzunguka kila jukwaa humu mnapata wapi?maana kila kona kuna watu huwezi kosa wamelike post karibu zote,wametoa maoni asee mnaogopesha sana.
Kuna misukule na marobot humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…