NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Safi mkuuWakawatuma mabaunsa WA Yanga wawazuie kuingia kukagua uwanja😄😍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi mkuuWakawatuma mabaunsa WA Yanga wawazuie kuingia kukagua uwanja😄😍
Wapi lingekuwapo pengo?Hao ni wagonjwa, laiti kama mngeingia kwenye derby basi msingekuwa na hao watu
Siri gani?Siri imejulikana
Kuna sehemu imeongelewa kuhusu mapengo?Wapi lingekuwapo pengo?
Acha ijulikane tu, lakini ndio imetoka na hawana cha kufanya wanalilia matopeni.Siri imejulikana
Yani aliewaita Mbumbumbu hakukoseaSema nini
Kuwa shabiki wa Simba kipaji pia. Kuna mwamba hapo anatetea huo uhuni wakifanya wengine wanaona wanaonewa.
Ni booster.buster?
Kuna misukule na marobot humuSema kiongozi kila sehemu upo.Leo nataka kuuliza tu sio kwako ata kwa wengine,hivi energy ya kuzunguka kila jukwaa humu mnapata wapi?maana kila kona kuna watu huwezi kosa wamelike post karibu zote,wametoa maoni asee mnaogopesha sana.