Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
Golikipa mzuri anajua kudaka kiwango chake ni cha juu sana footwork yake pia ni nzuri ishot ni aina ya golikipa wa kisasa ila tatizo la golikipa wetu hakubali kwamba sio kila mpira unaomjia ni wa kuhangaika nao.
Shuti kama lile lilikuwa na haja gani ya kukomaa nalo kulirudisha uwanjani? Kwann asingelitemea nje shuti kali mtu yupo hewani anakomaa aunyakue mpira kama nyani ni ngumu, Na mwamba anazingua hapo tu.
Aliemtunga huyu jamaa spider nae mnafiki tu nae anatuponza alaaniwe.