OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Watu wa north korea ni masikini waliolazimishwa kufumba macho ili wasiuone umasikini wao!! Serikali ina pesa sawa! Ila asilimia kubwa ya fedha yote inaishia kwenye miradi ya nuclear weapons!! Eti raia haruhusiwi kumiliki hata Vitz!! Rais pekee ndiye tajiri kwenye hiyo nchi! Akifuatiwa na wanajeshi wa ngazi za juu! Huyo rais alishawahi kutamka kuwa ni heri watu wafe njaa lakini jeshi liwe imara! Yaani nchi nzima watu wanafanyia kazi jeshi tu!! Huo ni umasikini wa kiwango cha kutishaKama hii nchi ni masikini duniani kwa mujibu wa marekani, basi sisi Tanzania hatuko kwenye hiyo dunia. Huenda sisi Africa tuna dunia yetu
Huyo akianguka hapo Kipanki ataamuru apigwe risasi hadharani kwa utovu wa nidhamu!! What a stupid place on earth!Ina maana drone hamna
Ni propaganda tu za wamarekani.Korea kaskazini maskini kwa wazungu tuuu maana wao wanaamua Nani awe tajiri
Huyo Cameraman sio mtu wa kawaida..!
Kabisa!!!!Huyo Cameraman sio mtu wa kawaida..!
Hizo ghorofa kwa sura tu inaonesha kuwa hiyo nchi iko vizuri sana kiuchumi na mambo mengineKwel wamarekan nawashirika wao niwaongo sana ndomaana media zote kubwa nizao ili watudanganye.nimesema hivo kwasababu wanatuaminisha kila siku kua nchi hii nimaskin kupindukia lakin jaman hayo maghorofa namiji ilivopangwa vizur hivo mbona haifanan natunavoambia yaan hata kwaafrika huomji hakuna nchi inayo
Hata hapa Tz matajiri ni wachache WAZUNGU hawana maana kabisaWatu wa north korea ni masikini waliolazimishwa kufumba macho ili wasiuone umasikini wao!! Serikali ina pesa sawa! Ila asilimia kubwa ya fedha yote inaishia kwenye miradi ya nuclear weapons!! Eti raia haruhusiwi kumiliki hata Vitz!! Rais pekee ndiye tajiri kwenye hiyo nchi! Akifuatiwa na wanajeshi wa ngazi za juu! Huyo rais alishawahi kutamka kuwa ni heri watu wafe njaa lakini jeshi liwe imara! Yaani nchi nzima watu wanafanyia kazi jeshi tu!! Huo ni umasikini wa kiwango cha kutisha
Acha uongo na hayo maghorofa ndio kambi ya jeshi........ kwa hiyo barabara zote hizo za lami kwa ajili ya kupita raisi waoWatu wa north korea ni masikini waliolazimishwa kufumba macho ili wasiuone umasikini wao!! Serikali ina pesa sawa! Ila asilimia kubwa ya fedha yote inaishia kwenye miradi ya nuclear weapons!! Eti raia haruhusiwi kumiliki hata Vitz!! Rais pekee ndiye tajiri kwenye hiyo nchi! Akifuatiwa na wanajeshi wa ngazi za juu! Huyo rais alishawahi kutamka kuwa ni heri watu wafe njaa lakini jeshi liwe imara! Yaani nchi nzima watu wanafanyia kazi jeshi tu!! Huo ni umasikini wa kiwango cha kutisha
Walifanya hivyo Libya, sasa wananchi wamegeuka watumwa! Afanalek walahi mmarekani muhuni kweli kweli!Kwel ukitaka kumuua mbwa wako muite jina baya waswahili hawakukosea.nchi inaonyesha uwezo wa hali yajuu wa makombora na nyambiz namajaribio ya nyuklia kias hiko bado wamarekan nawenzao wanatuaminisha kua kuna watu wanakufa nautapiamlo nanchi hiyo nimaskin kiliko zote dunian