Camera man wa North Korea

Camera man wa North Korea

Watu wa north korea ni masikini waliolazimishwa kufumba macho ili wasiuone umasikini wao!! Serikali ina pesa sawa! Ila asilimia kubwa ya fedha yote inaishia kwenye miradi ya nuclear weapons!! Eti raia haruhusiwi kumiliki hata Vitz!! Rais pekee ndiye tajiri kwenye hiyo nchi! Akifuatiwa na wanajeshi wa ngazi za juu! Huyo rais alishawahi kutamka kuwa ni heri watu wafe njaa lakini jeshi liwe imara! Yaani nchi nzima watu wanafanyia kazi jeshi tu!! Huo ni umasikini wa kiwango cha kutisha

f53abbfc4d7b461c615f3648881e90e4.jpg

0d360ae6c3931163f7bbe33ea6377668.jpg

Kwani hizi baiskeli??

Mbona mnapenda kupokea propaganda za south Korea maana s.Korea kila kukicha wanatoa propaganda kibao

North wamepiga marufuku magari kutoka south Korea na USA kuwa imported tu na wao pia wana makampuni yao ya magari
 
Acha uongo na hayo maghorofa ndio kambi ya jeshi........ kwa hiyo barabara zote hizo za lami kwa ajili ya kupita raisi wao
North korea ilikuwepo hata kabla ya hayo maghorofa na barabara!huyu kipanki siyo rais wa kwanza NK!wala sheria za leo za NK siyo zilizokuwepo awali!
Nazungumzia korea ya leo! Maghorofa yalikuwepo hata kabla ya korea kugawanyika na kuwa mataifa mawili hasimu! Weka hapa sheria za sasa za NK juu ya haki za kiraia! Usilete story za
korea ya kale.cc py thon
 
Yetu macho bhana, make hata South Korea wameweka dau la £860K kwa raia yeyote yule wa North Korea atakayeweza kuihama nchi hiyo na kukimbilia South Korea.

Sijui lengo lao nini?
Kitu ambacho tukiacha ushabiki North Korea wanakosea, hata kama wana haki ya kutengeneza na kujaribu Makombora yao, sasa kwanini wayaelekeze Japani au South Korea? Kwanini watishie kuyarusha USA? Hata kama ni wewe, huwezi kumvumilia mtu anaye kutaarifu eti anafanya mazoezi ya kuja kukutwanga baadae, hapo lazima ufanye jambo hata kumuibia vifaa anavyotumia kwenye haya mazoezi, au umuwahi kabla hajawa na huo uwezo. So hicho ndo USA anachokifanya.

Pia ingelikuwa vema na USA waache kufanya vitisho vya kijeshi kwa kufanya mazoezi ya kijeshi na Japani na South Korea karibu na mipaka ya North Korea.

Hiii vita siyo ya kitoto, nchi nyingi kubwa duniani kama UK, France, Russia, China n.k zitaingilia kati kuwalinda washirika wao na maslahi yao, kutakuwa na utumizi wa silaha ambazo dunia inaweza kuharibiwa kijamii, kiuchumi, kijografia na kisiasa ambapo kuirudisha hali ya sasa hivi itahitaji zaidi ya miaka 500.

Ni mtazamo wangu tu, pia nakaribisha maoni, ukosoaji lakini sio matusi.
 
Watu wa north korea ni masikini waliolazimishwa kufumba macho ili wasiuone umasikini wao!! Serikali ina pesa sawa! Ila asilimia kubwa ya fedha yote inaishia kwenye miradi ya nuclear weapons!! Eti raia haruhusiwi kumiliki hata Vitz!! Rais pekee ndiye tajiri kwenye hiyo nchi! Akifuatiwa na wanajeshi wa ngazi za juu! Huyo rais alishawahi kutamka kuwa ni heri watu wafe njaa lakini jeshi liwe imara! Yaani nchi nzima watu wanafanyia kazi jeshi tu!! Huo ni umasikini wa kiwango cha kutisha

Nilitegemea data za kusapoti mandishi yako.
 
Wakuu kwa haraka haraka nimebaini askari wa North korea si wa mchezo mchezo,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa hana wasi wasi kabisa,

Mtizame na huyo aliyeshikilia ngazi naye kwa haraka haraka yuko vizuri,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu chambua na wewe kadri uwezavyo
8b8912713673454e3be653a2402cf8ea.jpg
ila nimependa tu matching yao na usafi plus majengo
 
Watu wa north korea ni masikini waliolazimishwa kufumba macho ili wasiuone umasikini wao!! Serikali ina pesa sawa! Ila asilimia kubwa ya fedha yote inaishia kwenye miradi ya nuclear weapons!! Eti raia haruhusiwi kumiliki hata Vitz!! Rais pekee ndiye tajiri kwenye hiyo nchi! Akifuatiwa na wanajeshi wa ngazi za juu! Huyo rais alishawahi kutamka kuwa ni heri watu wafe njaa lakini jeshi liwe imara! Yaani nchi nzima watu wanafanyia kazi jeshi tu!! Huo ni umasikini wa kiwango cha kutisha
Tanzania kuna Waziri alishawahi kutamka eti tutakula hata Nyasi ilimradi ndege ya Rais inunuliwe
 
Acha uongo na hayo maghorofa ndio kambi ya jeshi........ kwa hiyo barabara zote hizo za lami kwa ajili ya kupita raisi wao
Atakuwa kibaraka wa Marekani huyo jamaa, utakenga Barbara za rami nchi nzima kwaajiri ya gari moja tu ya rais? Maana za jeshi popote zinapita. Kwakifupi ni kuwa hakuna anayeijua north Korea kiundani zaidi ya wao wenyewe. Ukiona unataarifa kuwahusu ujue wameitoa wao wenyewe. Jiulize toka wawekewe vikwazo mpaka sasa umesikia uchumi umeporomoka na kuhitaji msaada kama wa ugiriki? Marekani hawana taarifa za siri za north Korea kwasababu mfumo wa mawasiliano ni tofauti na nchi nyingine duniani hivyo ni ngumu sana hata kufanya udukuzi.

Unaambiwa nchi masikini lakini picha zinatofautiana na MANENO au maandishi. Kusoma hatujui basi tuangalie hata picha.
 
Kwel wamarekan nawashirika wao niwaongo sana ndomaana media zote kubwa nizao ili watudanganye.nimesema hivo kwasababu wanatuaminisha kila siku kua nchi hii nimaskin kupindukia lakin jaman hayo maghorofa namiji ilivopangwa vizur hivo mbona haifanan natunavoambia yaan hata kwaafrika huomji hakuna nchi inayo
fact
 
Back
Top Bottom