py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Watu wa north korea ni masikini waliolazimishwa kufumba macho ili wasiuone umasikini wao!! Serikali ina pesa sawa! Ila asilimia kubwa ya fedha yote inaishia kwenye miradi ya nuclear weapons!! Eti raia haruhusiwi kumiliki hata Vitz!! Rais pekee ndiye tajiri kwenye hiyo nchi! Akifuatiwa na wanajeshi wa ngazi za juu! Huyo rais alishawahi kutamka kuwa ni heri watu wafe njaa lakini jeshi liwe imara! Yaani nchi nzima watu wanafanyia kazi jeshi tu!! Huo ni umasikini wa kiwango cha kutisha
Kwani hizi baiskeli??
Mbona mnapenda kupokea propaganda za south Korea maana s.Korea kila kukicha wanatoa propaganda kibao
North wamepiga marufuku magari kutoka south Korea na USA kuwa imported tu na wao pia wana makampuni yao ya magari