Camera na simu vinauzwa

Camera na simu vinauzwa

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,940
camera aina ya SONY MPG4, MP3 na Simu ya Motorola aina ya motorazr2 v9x vinauzwa
 
wasiliana nasi kwa namba hii 255712404936 utajulishwa jinsi ya kuviona
 
wasiliana nasi kwa namba hii 255712404936 utajulishwa jinsi ya kuviona

Acha uswahili bana......kama vitu vipo UK au Kenya unataka mtu aunguze hela zake kukupigia tu wakati hawezi kuvifikia? or hujasema bei, unataka mtu akupigie umwambie unauza camera for 500k? wakati he can't afford?.....acha uhuni bana! Sema vipo wapi na vinauzwa bei gani.....kama basic information kabla mtu hajaamua kukupigia!
 
Sema be mkuu, sio unasema zinauzwa harafu kumbe hakuna tofauti na kariakoo, Mwenge, Ubungo, Posta na sehemu zingine. Tunasubiri bei na sehemu.
 
mmh vinauzwa na mtu binafsi au dukani au ?vimetumika au brand new ?
 
Na picha ya vifaa hivyo pia ni muhimu sana tupate kujua na sio udownload kwenye google uvipige picha hivyo vifaa vyenyewe
 
Huyu kweli anataka kufanya biashara? Mbona hayuko serious? Basic information nyingi hajaweka hapa!!
 
kuwa muwazi sema upo sehemu gani hivyo vifaa ni vipya au used ili kurahisisha mawasiliano kuwa mfanyabiashara
 
huyu hauzi chochote ila anataka kupigiwa tu simu, maana mtu kama unafanya biashara ni lazima; utoe aina ya mali, iko ktk hali gani (used/new), wapi ilipo nk
 
Nashuru wana JF wote walinipigia kutaka kununua hiyo Camera na nashukuru pia aliyeinunua kama nikipata ingine natawaambia, na samahani sana kwa usumbufu mlioupata kuweka tangazo nusunusu unajua tena ndio tunaanza biashara narudia sana samahani sana kwa usumbufu
 
Na hiyo Motorola imeshauzika au??
 
Na hiyo Motorola imeshauzika au??

Ndio vyote vimeshanunuliwa unajua tena watu wengi wanaitaji kitu bora sasa walipoiviona tu na bei ilivokuwa poa wakavichua hapo hapo
 
Ndio vyote vimeshanunuliwa unajua tena watu wengi wanaitaji kitu bora sasa walipoiviona tu na bei ilivokuwa poa wakavichua hapo hapo

Poa mkuu tumekulewa, kufanya kosa si kosa, kosa ni kurudia kosa!!
 
Ukipata Motorola nyingine bei poa nifahamishe. Nazipenda sana moto!!
 
Huyu kweli anataka kufanya biashara? Mbona hayuko serious? Basic information nyingi hajaweka hapa!!
hii inaonyesha jinsi gani waTZ hatujui matumizi ya TEKNOHAMA katika kufanya biashara.
ilikua inatosha kabisa hapa:
-kutaja bei
-kuweka picha
-kusema ni used au mpya
then mtu akachukua uamuzi wa kupiga simu kama kavutiwa navyo, simply unasema unauza kamera na simu, UZA SASA!, ala.
 
Back
Top Bottom