Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Zile taa kwa kweli zina mwanga hafifu! Hata goli la kwanza la Yanga inawezekana kabisa golikipa aliyema mpira kimakosa kutokana na uduni wa taa za uwanjani.Tatiizo sio camera bali ni taa zilizopo uwanjani hazitoshi,wewe unaona kivuli cha mchezaji hahaaa kweli?!!
Ila kwenye pitch; nawapongeza Namungo Fc.
I wish na sisi Yanga siku moja tutakuwa na uwanja wetu wa kuchezea mechi.
Maana haileti mantiki kuona timu zikizoanzishwa miaka ya 2010, kama Azam Fc, Namungo Fc, Ihefu Fc, Gwambina Fc, nk zinamiliki viwanja vyao! Halafu Yanga ya mwaka 1935, kila siku ni porojo tu na lile bwawa lao la pale Kaunda.