Camera za Azam zinazo onesha Mechi ya Yanga na Namungo ni mbovu na zinaua macho kwa watazamaji.

Tatiizo sio camera bali ni taa zilizopo uwanjani hazitoshi,wewe unaona kivuli cha mchezaji hahaaa kweli?!!
Zile taa kwa kweli zina mwanga hafifu! Hata goli la kwanza la Yanga inawezekana kabisa golikipa aliyema mpira kimakosa kutokana na uduni wa taa za uwanjani.

Ila kwenye pitch; nawapongeza Namungo Fc.


I wish na sisi Yanga siku moja tutakuwa na uwanja wetu wa kuchezea mechi.

Maana haileti mantiki kuona timu zikizoanzishwa miaka ya 2010, kama Azam Fc, Namungo Fc, Ihefu Fc, Gwambina Fc, nk zinamiliki viwanja vyao! Halafu Yanga ya mwaka 1935, kila siku ni porojo tu na lile bwawa lao la pale Kaunda.
 
Kwahiyo taa ndio zinakata sauti?
Acha ujuaji
Tatizo lako ni kukurupuka kama mtu anayeoga nje!!hoja hapa ya mleta uzi ilikuwa ni "KUWA PICHA ZINAUMIZA MACHO'sasa kama kulikuwa na inshu nyingine ya TAA Ungeanzisha uzi wako tu.hapa tunachangia kutegemea na nini mtoa uzi amekileta kuna sehemu amezungumzia sauti?
 
YANGA HAWANA AKILI TIMAMU.

Golia hajatema makusudi yale ni maelekezo ya bahasha wewe uto,kwahiyo na pale alipojiangusha makusudi na kumuachia kisinda afunge kiurahisi nayo ilikuwa ishu ya taa?
 
Acha mbambamba wewe utopolo,soma tena na uelewe post kabla ya kukurupuka kenge wewe,hapo umeona mtoa post kaelezea habari za taa za uwanjani au camera za azam media?????kiufupi jana timu nzima ya ufundi ya azam media ilizingua maana picha zilikuwa hazitulii zinachezacheza wakati wanapambana kurekebisha hilo wakakata na sauti,wakaomba radhi na kuahidi kushughulikia sauti ikarudi picha ikakata.....kiuhalisia jana hawakuwa vizuri azam media na sio ishu ya taa hata kama kulikuwa na changamoto ya taa basi ilikuwa inajitegemea ila tatizo lao lilibaki palepale.....
Uto hamna akili
 
YANGA HAWANA AKILI TIMAMU.

Golia hajatema makusudi yale ni maelekezo ya bahasha wewe uto,kwahiyo na pale alipojiangusha makusudi na kumuachia kisinda afunge kiurahisi nayo ilikuwa ishu ya taa?
Halafu mkiitwa mbumbumbu, mnakasirika! Yaani ulishindwa kabisa kugundua ule uwanja ulikuwa unateleza kutokana na kunyesha kwa muda mrefu kabla ya mechi!

Wachezaji wangapi walipoteza mipira kutokana na uwanja kuteleza, kama kweli uliangalia mechi? Na kwa nini utafute lawama kwa mlinda mlango?
 
Uto hamna akili sasa na lile goli la kwanza la kipa kumpa yule mkongoman afunge makusudi ni sababu ya mvua?
 
Karibia zote hawapigi, wao wanapokea tu,labda ile ligi ya South Africa ndo hupiga wao..ndo maana inakuwa na muonekano mbaya mnoo.
Watu kama nyie ndio viongozi wa ubishi vijiweni mwenu, tangu lini dstv hupiga picha wao.?
 
YANGA HAWANA AKILI TIMAMU.

Golia hajatema makusudi yale ni maelekezo ya bahasha wewe uto,kwahiyo na pale alipojiangusha makusudi na kumuachia kisinda afunge kiurahisi nayo ilikuwa ishu ya taa?
Kwenye uzi mwingine unasema Jezi nyeusi huku unasema bahasha ! huu mwaka mgumu sana kwenu
 
Kwenye uzi mwingine unasema Jezi nyeusi huku unasema bahasha ! huu mwaka mgumu sana kwenu
Wapi nimesema jezi nyeusi,niquote weka hapa au screenshoot kama ni kweli niite mbwa nipo hapa,ila kama uwongo wewe ni MBUMBUMBU pamoja na utopolo wenzio wote
 
Yaan hii nchi ni shida kila kona.Ona sasa Azam na wenyewe wameamua kutuua macho tusione.Mpira unaoneshwa kama wachezaji ni maroboti.
Na nafikiri hilo jambo linajirudia sana kwenye huo uwanja wa Namungo , nadhani Camera zilizofungwa hapo ni mbovu kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…