Camera zamnasa Mzungu wa Simba uwanja wa ndege Dar akitimkia kusikojulikana...

nilishangaa Jana ktk kutoa speech hakuitwa bali aliitwa coach msaidizi
 
Simba sio timu ya majaribio.. Timu inataka ushindi wa kifani.
 
Acha uongo hapo ni Airport Nairobi jana akija Dar.Bado yupo DAR anaomba kuongezewa mkataba.Mzungu gani anasusa!!!!
 
Camera zamnasa Mzungu wa Simba uwanja wa ndege Dar akitimkia kusikojulikana...
Sio uwanja wa ndege wa Dar, hapo anatoka Kenya anarudi Dar, ili arudi kwao ikishindikana kuelewana. Uongozi wa Simba unasua kuongeza mkataba wake
 
Makocha wa Serbia na Yugoslavia naona huwa wanafundisha kandanda safi sana. Hawa wa Magharibi si kivile kwa vilabu, wanafaa timu za taifa
 
Amekimbia wachezaji wanasajiliwa na Manara kuikomoa Yanga...ndio maana akashangaa Kaheza anasajiliwa vipi na Simba
 
Amekimbia wachezaji wanasajiliwa na Manara kuikomoa Yanga...ndio maana akashangaa Kaheza anasajiliwa vipi na Simba
Msemaji wa klabu anasajili mchezaji teh teh teh only in Tz...
 
Simba wanasajili magalasa akina Salamba hawana kitu uwanjani wanaruka ruka tu, ndio maana kaamua kuondoka zake
 
Amekimbia wachezaji wanasajiliwa na Manara kuikomoa Yanga...ndio maana akashangaa Kaheza anasajiliwa vipi na Simba
Siku hizi wachezaji wanasajiliwa na Mo Dewji hao akina Kaheza kasajili yeye
 
Mpira Bongo ni abradakadabla tu. Hao "wazungu" wenu reject huko kwao wanafuata hela tu na sometimes wanavumilia upuuzi wa viongozi wenu ili mkono uendelee kwenda kichwani bila shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…