Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si mtoro...Mwenda kwao...
anataka alipwe 400M kwa mwezi...nilishangaa Jana ktk kutoa speech hakuitwa bali aliitwa coach msaidizi
Apewe tu, nchi ya mazuzu hii inathamini sana wazunguanataka alipwe 400M kwa mwezi...
Apewe tu, nchi ya mazuzu hii inathamini sana wazunguanataka alipwe 400M kwa mwezi...
Sio uwanja wa ndege wa Dar, hapo anatoka Kenya anarudi Dar, ili arudi kwao ikishindikana kuelewana. Uongozi wa Simba unasua kuongeza mkataba wakeCamera zamnasa Mzungu wa Simba uwanja wa ndege Dar akitimkia kusikojulikana...
Atajua mwenyeweAcha uongo hapo ni Airport Nairobi jana akija Dar.Bado yupo DAR anaomba kuongezewa mkataba.Mzungu gani anasusa!!!!
Msemaji wa klabu anasajili mchezaji teh teh teh only in Tz...Amekimbia wachezaji wanasajiliwa na Manara kuikomoa Yanga...ndio maana akashangaa Kaheza anasajiliwa vipi na Simba
Siku hizi wachezaji wanasajiliwa na Mo Dewji hao akina Kaheza kasajili yeyeAmekimbia wachezaji wanasajiliwa na Manara kuikomoa Yanga...ndio maana akashangaa Kaheza anasajiliwa vipi na Simba