DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Habari Wanajamvi wakati watu tukiendelea kutafuta ela watu wanadhurumiwa haki zao
Jamàa alibeti timu 13 kampuni ya 1xbet na kuweka dau la $350, na ikaleta kiasi cha $22m Sawa na bilioni 50TSH.
Na aliposhinda mkeka huo kampuni ya moja bet ilifuta account ya jamaa huyo ili wasimlipe pesa.
Alipokwenda ofisini walimpa ofa ya $687000 jamaa alikataa na kuhitaji pesa zote.
1xbet walikanusha na kusema $22m Ni kinyume na terms and condition za malipo Yao kwa mshindi.
Soma vizuri hapa: