Cameroo: Ashinda $22m kampuni ya 1xbet yafuta account yake

Cameroo: Ashinda $22m kampuni ya 1xbet yafuta account yake

Basi unavostake wangekataa mbona stake yako wanakubali kulipa wanakataa
lakini hata betpawa ukibetia kuanzia sh 1 hadi 500 utakachopewa si zaidi ya mil 80 ,ukizidi hawaruhusu Uber hadi upunguze timu,kidogo ni afadhali kuliko unaruhusu mtu abeti halafu anashinda zaidi ya kiwango halafu unagoma kutoa mpunga
 
Huenda unaamua kutoa Sadaka kwenye terms and conditions (ambazo inabidi muhusika mwenyewe uzisome hizo zipo) inagawa kama tofauti ni kubwa sana sometimes slip inakataa inakwambia kabisa maximum winning...

Anyway kisheria jamaa hawezi kulipwa ila kibiashara hili linaweka doa kwenye Kampuni, Kampuni ingefurahi kama wangemalizana kimya kimya au wanaweza wakamuongezea dau kidogo ila wakamlazimisha ku-sign no disclosure agreement kwamba asiongee kitu
Tatizo wacheza kamari ni vijana wajinga wajinga hawajui cha kufanya.

Pili iweje odds zisome kiwango ambacho hawawezi kulipa Ili tu kuvutia wacheza kamari wakati wanajua kwamba kuna max.payout? Sheria zinakubali udanganyifu?
 
Back
Top Bottom