Yaani kutoka 22M unagewa 687K na ungekubali? Unless kama niliedit hizo ishu ili niwapige lakini kama ni mpunga halali aisee hakuna kitu kama hichoJamaa angechukua tu hyo ofa waliyompa.. Vinginevyo atazungushwa mpaka aone kizunguzungu.
Basi unavostake wangekataa mbona stake yako wanakubali kulipa wanakataaHuko ni kutokusoma Terms and conditions.., mbona online bookies wote wana maximum payouts ? Hata ushinde kiasi gani hawawezi kukupa zaidi ya hio maximum.....
Hao walitaka tu kumalizana haraka ili asiwachafu kibiashara (bad publicity) ila ukweli ni kwamba huyo jamaa hana Kesi kwahio kama hicho ndio kiasi alichopewa ndio maximum payout akichukue ila kama sio maximum basi adai apewe maximum
Huenda unaamua kutoa Sadaka kwenye terms and conditions (ambazo inabidi muhusika mwenyewe uzisome hizo zipo) inagawa kama tofauti ni kubwa sana sometimes slip inakataa inakwambia kabisa maximum winning...Basi unavostake wangekataa mbona stake yako wanakubali kulipa wanakataa
... kwa kweli; $687000 (TZS 1,580,100,000) sio haba tena Cameroon!Jamaa angechukua tu hyo ofa waliyompa.. Vinginevyo atazungushwa mpaka aone kizunguzungu.
Ngumi Sana kumshawishi mtu alopigika na maishaHuenda unaamua kutoa Sadaka kwenye terms and conditions (ambazo inabidi muhusika mwenyewe uzisome hizo zipo) inagawa kama tofauti ni kubwa sana sometimes slip inakataa inakwambia kabisa maximum winning...
Anyway kisheria jamaa hawezi kulipwa ila kibiashara hili linaweka doa kwenye Kampuni, Kampuni ingefurahi kama wangemalizana kimya kimya au wanaweza wakamuongezea dau kidogo ila wakamlazimisha ku-sign no disclosure agreement kwamba asiongee kitu
ndo hvyo ila mwsho wa siku hawatomlipa zaidi ya hiyo maana alikubali vigezo na sharti kabla ya kubeti,Ngumi Sana kumshawishi mtu alopigika na maisha