Huenda unaamua kutoa Sadaka kwenye terms and conditions (ambazo inabidi muhusika mwenyewe uzisome hizo zipo) inagawa kama tofauti ni kubwa sana sometimes slip inakataa inakwambia kabisa maximum winning...
Anyway kisheria jamaa hawezi kulipwa ila kibiashara hili linaweka doa kwenye Kampuni, Kampuni ingefurahi kama wangemalizana kimya kimya au wanaweza wakamuongezea dau kidogo ila wakamlazimisha ku-sign no disclosure agreement kwamba asiongee kitu