beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Serikali Nchini Cameroon imesema takriban watu 16 wamefariki dunia kwenye Klabu iliyopo Mji Mkuu wa Taifa hilo, Yaounde kufuatia ajali ya moto iliyosababishwa na fataki
Kwa Mujibu wa Wizara ya Habari na Mawasiliano, Ripoti ya Awali inaonesha ajali imesababishwa na milipuko ya fataki ambazo mara nyingi zinatumika maeneo hayo. Milipuko hiyo ilipelekea hofu na mkanyagano
======
At least 16 people died and eight others were injured early on Sunday in a fire that engulfed an upmarket nightclub in Cameroon's capital Yaounde, the government said.
"The incident was caused by the explosion fireworks usually used in the nightclub," it said in a statement, adding that these had sparked a fire on the ceiling which caused further explosions and panic in the night club.
Source: Reuters