Cameroon: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi ahukumiwa miaka 30 jela, mkewe pia jela miaka 10

Cameroon: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi ahukumiwa miaka 30 jela, mkewe pia jela miaka 10

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mahakama imemhukumu Edgar Alain Mebe Ngo'o kwa kosa la ubadhirifu takribani Dola Milioni 40 (Tsh. Bilioni 93) katika mkataba wa kununua vifaa vya kijeshi kutoka Brazil.

Mkewe, Bernadette, pia amekutwa na makosa ya aina hiyo na kuhukumiwa miaka 10 jela, wote wamekana makosa na kuahidi kukata rufaa Mahakama Kuu.

Aidha, Mahakama imeamuru kukamatwa kwa mali za mshtakiwa yakiwemo magari ya kifahari, nyumba na hati miliki za ardhi.

------- -------------

Cameroon ex-defence minister jailed for corruption

A court in Cameroon has sentenced a former defence minister to 30 years in prison for embezzling nearly $40m (£32m).

Edgar Alain Mebe Ngo'o was accused of inflating contracts to buy military equipment from Brazil.

His wife, Bernadette, was also found guilty of embezzlement and was handed a 10-year sentence.

The court decided to seize many of the defendants' assets, including luxury cars, houses and land titles.

The pair denied wrongdoing and their lawyer said they would appeal against the verdicts at the Supreme Court.

Cameroonian journalist Jules Koum Koum, who later died in a road accident, had exposed the corruption allegations in 2010.

Source: BBC
 
Hizi sheria inabidi pia nasi tuwenazo, hata kinga za kushtakiwa zikiondolewa nchi itanyooka na ubadhirifu utapungua sana.
Pia napendekeza sheria iruhusu kunyongwa kwa mafisadi na wakwepa kodi waanze kula miaka kadhaa jela, kisha sheria pre bargain ishuke hadi kwa kesi za watu masikini.
 
Back
Top Bottom