Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
teteteheeBado Arsenal kumjibu Edo Kumwembe kwa kuchukua EPL msimu huu😉
Ya Mungu mengi, yaani tunadharaulika kana kwamba hatujawahi kuchukua EPL.tetetehee
Lazima tuelewe pale kumwembe alikuwa hatabiri bali alikuwa anaiponda cameronEdo ni mchambuz wa kiwango cha juu.
Anakosea TB Joshua itakuwa Edo Kumwembe.
All of us makes mistakes in some situations.
ndo huo wa mechi inayozungumzwa hapa?Hakuna mchambuz nchi hii kama Edo kumwembe
Kuna tofauti kati ya kutabili na kuponda..,yeye alikuwa anaiponda cameronhata fugerson alisema chelsea haitaingia top 4 lakini cha kushangaza itachukua ubingwa, kumbe hata ulaya wapo wachambuzi uchwara
anaiponda kivipi mkuu ? maana hata fergurson aliiponda chese kwa namna moja au nyingineKuna tofauti kati ya kutabili na kuponda..,yeye alikuwa anaiponda cameron
anasema Cameron ni timu mbovu sana na ya kawaida sana eti haina wachezaji wanaocheza timu za maana ulaya.anaiponda kivipi mkuu ? maana hata fergurson aliiponda chese kwa namna moja au nyingine
Cameroon ni wazuri na wamekuwa wakiimarika kila mechi na pia kumsoma adui kwa haraka sana.Anachambua utafikiri yy ndio anacheza aliwaponda sana kumbe watu wana mioango yao.