Nyie ccm mnaipeleka wapi nchi?Watakucheka mno, si unaona wapenda haki wanavyo simangwa. Kikubwa mtindo wa sasa ni hela mkononi, iba iba iba iba iba ukipata nafasi, hakuna atakaye kuonea huruma usipoiba na hakuna atakayekupongeza kwa kuwa muadilifu, badala yake ukitoka tu watasema mnoko kaondoka watafanya sherehe na ikiwezekana watakuua kama Dkt Magufuli halafu waanze kushangilia kama Zitto
Hata ukipata kifaru cha jeshi ukikuta kimejisahau ibaaaa
Beba mnaenda kugawana mbele kwa mbeleNa ukikuta ndizi za Mmachinga?
CCM watakuwa nàmba ngapi?[emoji1787]Wafanye mashindano ya wizi Afrika
Naona Nigeria na Cameroon wataongoza wakifuatiwa na Kenya
Sisi tushinda kwa kuwaibia waizi kombe
CCM watakuwa nàmba ngapi?[emoji1787]
Mkuu hakika hii ni ajabu na mshangao mkubwa sana. How can't 89 buses be traciable hata kama wafanyakazi hawajalipwa?! Mamlaka za usimamizi zipo wapi?Mabasi 89 kivipi.
89/24 ni kama basi 4 kwa kila nchi
Mbn sasa huyo rfk yake kapeleka time fidaAfrica ukipata nafasi butua najua hii vita anaandaliwa etoo wamtoe pale baada ya kumpa rafiki yake team wengi hawakukubaliana nae show imeanza etoo anaundiwa zengwe mapema.